Habari zenu wana jamvi naombeni msaada kwa anaejua jinsi ya kuanzisha APP ya wafanya biashara kama vile kupatana.com naomba kujua jinsi ya kuendesha hiyo app na pia naomba kujua ni faida gani...
Watafiti sasa wanaweza kuona jinsi gani ions zina ungana ndani ya Supercapacitors...na hii inamaanisha itabadili kabisa jinsi ya kuchaji vitu vya umeme.
Ni miaka 200 sasa tangu betri ya kwanza...
Khalil Shreateh ni mtafiti wa ulizi wa mtandao, aligundua udhaifu wa security ya facebook mwaka 2013 na kudukua (Hack) account ya Zuckerberg na kupost kwenye timeline yake. Sikiliza anavyo simulia.
siku ya Jumamosi 17-6-2017 Tutakuwa Mikadi beach Kigamboni tutatoa huduma ya ku unlock simu zinazotumia sim1 mtandao mmoja (Yaani za promosheni) kwa bei ya Tsh5000 tu, Pia tutatoa Lock Roter za...
Wakuu simu yangu mpya aina ya Tecno 342 ina niandikia Invalid sim kwa Laini ya tigo tu huku laini Zingine Zikikubali kama kawaida nini tatizo?
Wakuu ni 349
Wanajamvi cm yang TECNO C8 inastack WhatsApp, inagoma kudelete groups chats even to delete group inagoma inaniandikia"unfortunately WhatsApp z not responding"WHAT SHULD I DO PLZ!!!
Hbr wana jamvi!
Nataka ni upgrade video card ktk Pc yangu ya Dell Optiplex 790 i7 kwa ajili ya graphics hivyo basi naombeni ushauri wenu ni VIdeo card ipi ni nzuri lkn iwe ya VRAM 1GB ama 2GB...
Habari wadau!
Natumia solar ya mjerumani walt 50 kwa zaidi ya mwaka, solar battery ya maji.
Cha kushangaza solar hii sipati umeme usiku, nikitaka kuchaji simu yangu na za watoto wangu inabidi...
Watafiti sasa wanaweza kuona jinsi gani ions zina ungana ndani ya Supercapacitors...na hii inamaanisha itabadili kabisa jinsi ya kuchaji vitu vya umeme.
Ni miaka 200 sasa tangu betri ya kwanza...
Kuna mtu nilimwachia kompyuta yangu aina ya lenovo kwa muda, lakini alikuwa afahamu matumizi vizuri akawa anawasha vizuri lakini kwenye kuzima kompyuta hiyo alikuwa anazima kwa kutumia sehemu ya...
Habari za jion wana jf
Naomba mwenye kujua nmna y kutengeneza mic y hii cm maana nkipiga simu kwa whassap or viber or imo nazungumza na mtu vizur n ananisikia ila tatizo linakuja nikipiga simu za...
Hatua za kuanza kujifunza Computer Programming.
Ndugu wasomaji,
Watu wengi wanashindwa kujua waanzie wapi kuanza kujifunza programming au wanawezaje kuwa programmers wakisasa, hivo nafurahi...
Jamani kama kichwa cha habari kisemavyo ningependa kuendelea kutumia simu yangu Samsung Galaxy Note3 ilifungwa na tcra nasiki upo uwezekano wa kuifungua na kutumia tena
Oya member naomba mniambie maujanja gani naweza kuyafanya katika simu yangu ikaonekana tofauti na ambavyo ilikuwepo ikiwa mpya?
Maana naskia mtu unaweza kuifanya simu yako ambayo inasaport 3G...