Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Google is not going to drop Java for Android. Google is going to drop Android. Google announced a new operating system that they have been working on: Fuchsia. Fuchsia is an open source, real...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habarini wana jf,nina PC yangu aina Dell lkn kila ukiingiza flash inasoma shortcut, lkn hata nikifanikiwa kukopi file lolote toka kwenye flash na kuingiza kwenye pc bado linasoma shortcut, msaada...
0 Reactions
1 Replies
463 Views
Habari wana jf Naomba mnielkeze jinsi ya kufanya installation ya window Ubuntu kwenye Mac (desktop) Asanteni.
1 Reactions
0 Replies
628 Views
Wadau naomba mnijuze simu ipi aina ya Microsoft lumia naweza kupata kwa tsh 200,000 au chini ya hapo iwe na sifa zifuatazo ram 1gb internal 8gb au zaidi camera quality na battery inayodumu na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nafanyeje hapo wataalam au ni ID zp natumia
0 Reactions
2 Replies
651 Views
Hello.. Jamani ni wapi kwa mwanza naweza nkapata sehemu wanayofundisha account package., kama vile tally, na quickbook
0 Reactions
3 Replies
805 Views
Natoa network lock za mitandao ya nje kwa simu aina nyingi,kuna zile simu ambazo hazisomi mitandao ya Tanzania zinaingia kwenye hili kundi, Naunlock icloud clean devices(only clean devices)hapa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello JF, Je, unahitaji system ya aina yoyote ile? Basi me ndo suruhisho la tatizo lako. Natengeneza system bureeee kabisa. If you are interested, please DM me. Note: Vigezo na masharti...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi Wanaforum. Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu mwenye uwelewa na hii topic ani pm ili tuzungumze nahitaji sana elimu juu ya hili jambo. Kama atapenda afundishe publick pia sio mbaya ila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu..naitaji msaada wa kujifunza software za simu..mf. miracle box<aladdin box>sp flash tool<najinsi ya kutumia roms vizuri..hali ni ngumu nataka nijiajiari..idea ninayo sasa ni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nafikiri taarifa kuhusu algorithm sahihi inayotumika na kampuni husika haiwezi kupatikana wazi katika mitandao.Bila kujali nitatoa mawazo niliyonayo juu ya topic hii. Algorithms za Kutengeneza...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Nisaidieni jinsi yakutoa his ad jaman
1 Reactions
1 Replies
663 Views
leo wakati najiunga kifurushi tigo nikaona menu mpya ya vifurushi vya whatsapp 1000 kwa wiki 2000 kwa mwezi kwa ambao wanavitumia ni unlimited? unaweza kudownload picha na video au ni...
3 Reactions
58 Replies
10K Views
wakuu, nahitaji kununua tv LG smart 43' naomba mniokoe kabla sijala hasara make nategemea itanitoboa mkwanja mrefu. je nitumie maujanja gani nisibambikwe tv fake?
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Habar wanajamvi naombeni msaada wenu katika kujuwa ni aina gani ya router ni bora kwa matumiz ya kioffice naomba ushauri wenu
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Tecno m5 inashindwa kumaliza booting, nimefanya hard reset mara nyingi bila mafanikio........ msaada kwa anayejua njia mbadala
0 Reactions
1 Replies
584 Views
Tecno m5 inashindwa kumaliza booting, nimefanya hard reset mara nyingi bila mafanikio........ msaada kwa anayejua njia mbadala
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Nck Hua dongo Advance box (atf) Infinity box Z3x DC unlocker Gpg dragon Volcano box Sigma box +255763949447
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mweny jailbreak tool for iPhone 7 amby infany kazi anisaidie tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
621 Views
Habari zenu wana jamvi naombeni msaada kwa anaejua jinsi ya kuanzisha APP ya wafanya biashara kama vile kupatana.com naomba kujua jinsi ya kuendesha hiyo app na pia naomba kujua ni faida gani...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…