Msaada wadau application gani ambazo ni muhimu kuwa nazo katika Android

Msaada wadau application gani ambazo ni muhimu kuwa nazo katika Android

Umuhimu wa app upo kwa mtumiaji mwenyewe, unatakiwa ujue unahitaji nini kwenye simu, kuna apps zinazokuja na simu, hizo ndio za muhimu kuifanya simu ifanye kazi, ukitaka za ziada ndio uweke unazohitaji,
 
inategemeana na ma2miz ya mtu mm ninaweza kukwambia lucky patcher kumbe hata ujui inafanya vp kaz so kuwa specific apps za namna gan...
 
Back
Top Bottom