mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 644
Jaman Habari Wadau!
Msaada Hapa
Nimei Flash Vodafone VDF 300
Ilikuwa Network Locked Ya Laini Za Voda Tu!
Nimeflash Kwa SP Tools
Firmware Nili Download Firmwarefile.com
Tatizo Baada Ya Kumaliza Inawaka Inaishia Kwenye Startup Ring Muda Mrefu Mpaka Inazima Chaji.
Msaada Nawezaje Kutatua Hili.