kilama
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 2,738
- 1,971
Wakuu ninapenda kuuliza nini unaweza ukafanya kwa simu zinazotumia android mbali na huduma za mitandao ya kijamii? nauliza hivi kwa sababu unaweza ukakuta mtu ananunua simu kwa gharama kubwa then anaishia kwenye wasp, facebook na instagram. Hivyo nahitaji kufahamu kazi zaidi za android au zinaweza zikatusaidia nini zaidi?