Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu habari za mida hii. Ninashida ya smart watch yangu ambayo nimeinunua China through Aliexpress, tatizo ni kwamba kila sim card ninayoweka napata ujumbe pale juu unaosema "invalid sim" SHIDA...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu, Screen yangu inadisplay rangi kama njano fulani hivi. Hali hii inasababisha macho kuumia wakati wa kutumia computer. Nifanyeje kutatua tatizo? Msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hili swali limekua likinisumbua kwa muda kidogo, hivi kwa nini graduates wengi wa information technology wanafikiria kutengeneza inventory system na kuziuza kwa wanabiashara bongo?? Nasema hivo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mambo viiipiii kuna picha fulani ambazo nimekuwa nikizipenda natamani kuijua hiyo app inayotoa picha za dizaini hiyo ... Picha zenyewe nizile za kunga'aa sana lakini image zilizo nyuma hufubaa...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Mambo Vp wadau Nahitaji huduma ys SEO katika blog Yangu na kusetiwa vizuri site ifanye vizuri katika search engine kama vile google , bing nk. Nahitaji mtaalamu tufanye kazi kwa malipo
0 Reactions
4 Replies
951 Views
Remix OS.. Kwa wale wapenda operating system zenye feature mpya au ni watumiaji wa Windows lakin si kwa kazi kubwa sana kama za graphics na production nyingine nzito ila kazi zao zinabase zaidi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo nina habari nzuri kwa watu wote wanaoitaji kuroot, Ku unlock, na kuflash simu zao inbox me kwa ajiri ya software na maelezo zaidi Post sent using JamiiForums mobile app
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimekua nikihangaika sana wakati ninapotaka kubadilisha laini za mitandao mingine kwenye simu yangu upande wa sim1, kila nikiweka huwa kuna maneno yanayojitokeza kama hivi " SIM1:unlock network...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wanandugu nilikuwa naomba msaada nimekuwa na simu hii kwa muda wa mwaka sasa tatizo simu ilivunjika touch yake ikawa haifanyi kazi nimejitahidi kutafuta touch yake hapa kariakoo imeshindikana kila...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wanajamii wenzangu naombeni msaada kama kichwa kinavyosema hapo juu software itakayoniwezesha kurekodi screen ya mashine yangu.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Simu yangu Tecno W4 nimetumia miracle crack wakati nina Read ili nicopy Stock rom kwa ajili ya simu iliyokuwa imebrick ila ukiconnect ilikuwa inasoma USB DRIVERS nilichofanya ni kitu kimoja maana...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ninaomba maarifa namna ya kupiga window kwa kutumia flash disk maana mlango wa DVD hamsomi ,kwa wenye utaalam kwa kutumia flash disk naomba pamoja na driver zake ili nifanikiwe wakuu . Post sent...
0 Reactions
3 Replies
861 Views
Anaye fahamu wale WA insta Post sent using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Rejea kichwa cha habari, naomba msaada wa screenshots nifanye mannual configuration ktkt smartphone yangu. Nimewapigia customer care service zaid ya mara nne wakaahidi kunitumia hizo settings...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu, nina mnyama wa Yamaha YBR -125. Nimetafuta sana spears, imekuwa ni tatizo. Nisehemu gani naweza zipata?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Naona wengi wana tambiana kutumia simu za gharama baada ya kuwa displayed mwishoni wa Meseji. Haya mambo ya technology na owner naye vipi?!?!
9 Reactions
199 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…