Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba ushauri jinsi ninavyoweza kusajili gari yangu binafsi kwa ajili ya huduma ya taxi za mtandao wa UBA Tafadhali maana hakuna namna nyingine!! Pia kama kuna dereva mzioefu ningependa niingie...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Nataka kuipromote page yang ya instagram mwenye uzoefu anisaidie manake napoenda deep inaniomba niingize no za card ya benki sasa sina imani napo. MSAAADA PLZ Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
961 Views
Ninahitaji Sent from my Siemens A-35 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
0 Replies
702 Views
Nahitaji kuroot tecno c9 nimejaribu kingroot imegoma kwa mwenye ufahamu anielekeze Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
783 Views
Wakuu nina mini laptop inatunza sana chaji awali ilikuwa inacharge fresh now ukichomeka inaonesha simu iko connected ila asilimia haisogei badala yake ina discharge, Wakuu msaada
0 Reactions
0 Replies
671 Views
habari zenu wakuu wa humu ndani Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote mwenye free software ya kurecover picha ambazo zinaandika INVALID IMAGE maana picha zangu nyingi zimeandika invalid image sasa...
0 Reactions
3 Replies
822 Views
Habari wadau kwa yeyote anaefahamu music player yeyote ya android au windows ambayo inaweza kuplay nyimbo kabla haijafika mwishon nyimbo nyingine inaingia hapo hapo
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi hili jukwaa! kwa wale waliojitosa kununua ving'amuzi vya digitek na continental tuambie sie tunaotumia dish na king'amuzi cha startimes! Vp kuhusu huduma yao, ipo bora ama bora king'amuzi...
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Wakuu kama kichwa cha habar kinavyojieleza laptop yangu inawaka na kufanya operation zingine vizur isipokuwa inaleta chenga chenga kama TV za analogia zaman Kwa kifupi nimejaribu kufanya settings...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanajamvi, nilinunua simu hii ya GIONEE E7-Mini nikiwa India few years back. ni nzuri kwa muonekano na specifications zake pia si haba.. Bahati mbaga nikiwa najaribu kuiupdate ikastack and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Matatizo ya GBwhatsapp 1.baadhi ya contacts azionekani 2.meseji kuchelewa.3.nzito muda mwingine inacrush 4.inakula mb..proved by me,mbadala wake ni....NOWhatsapp...
0 Reactions
53 Replies
9K Views
Habari, Naomba msaada kujua tofauti ya ENgine kati ya 1G-Fe ukilinganisha na VVti kama zote ni CC 2000. Please naomba msaada maana nahitaji kufanya maamuzi ya haraka. Ahsanteni sana
1 Reactions
22 Replies
12K Views
Naweza kupata hiyo kitu , sh ngapi? Karibuni. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
779 Views
Kama kichwa hapo juu kionekanavyo,nina laptop yangu aina ya Dell Latitude D630 nikiiwasha haimalizi kuwaka inaonyesha Giza tu, Msaada wenu wakuu sent by IPhone 6 using jamii forum app
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu nataka kununua gari,,, nimeenda kwa be forward ili niagize hiyo gari,,, nikapewa profoma invoice ili nikalipie,, nikaambiwa Nina option mbili,, kulipia mojakwamoja be forward Japan,, au be...
1 Reactions
6 Replies
990 Views
Kama nilivyotangulia kusema,nina Hp hd500,Ram 4,procesor 2.6 Nimeinunua ikiwa used product nikafomart kwa kupiga window kila kitu ikawa mpya kbsaa nikaitumia kwa muda wa masaa 3 nikaizima...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hivi zile location za kwenye instagram inatakiwa uweke sehemu ulipokua wakati unapiga picha au sehemu iliopo wakati unapost picha, mana naonaga picha mtu anaonekana yupo polini halafu pale juu eti...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana jamvi! Kabla sijakurupuka kuita fundi naomba msaada wa mawazo yenu fridge langu lina milango 2 mlango wa juu {freezer} ligandisha vizuri tu, lakini Mlango wa chini ambao huwa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wakuu.. 1.Naombeni msaada kwa yoyote anayejua jinsi ya kudownload Video kutoka katika Application.. Leo nilidownload SimuTv sasa kuna video nikataka ni download ila ikashindwa.. Hvyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom