S spleeingiant Senior Member Joined Oct 24, 2016 Posts 138 Reaction score 45 Aug 13, 2017 #1 Habarini wanajamii naomba msaada wa namna ya kuangalia local channels kwa kutumia kodi kwenye pc.
Jagood JF-Expert Member Joined Aug 15, 2016 Posts 2,144 Reaction score 2,397 Aug 13, 2017 #2 Natamani kujua kama inawezekana hii kitu
miami0101 JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 1,336 Reaction score 1,276 Aug 13, 2017 #3 Kuna kifaa wanauza 80k, unaangalia channel bure kwwny pc bila kuweka vfurush... ila waliikataza hii kitu inaitwa cable TV ukidakwa ni kosa Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Kuna kifaa wanauza 80k, unaangalia channel bure kwwny pc bila kuweka vfurush... ila waliikataza hii kitu inaitwa cable TV ukidakwa ni kosa Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app