Aibu Website Ya shirika la Reli Tanzania

TZ boy

JF-Expert Member
Jan 11, 2012
628
183
KnFgcqe.png

Na maswali mengi kichwani mpaka nashindwa kupata jibu....
  1. Tatizo nini hasa mpaka iwe hivi..
  2. Ina maana TRL hawana kitego cha I.T, au webmaster anayeweza lekebisha swala hii.
  3. Au hii website haina watumiaji, au ipo kwa mujibu wa serikali tu ....?
Nitaaminije hii wesbite kuhusu data zangu kama website imejaa bugs kiasi hichi...? Tatizo ni nini hasa...?
 
sio jambo la kushangaza kwa web za TZ hasa za serikali kukuta hayo na ni watu kuchukulia kila kitu rahisi rahisi tu.
 
Sasa hapo mdukuzi kashajua username bado tu password. Ila kibongobongo website ni pambo tu. Ndio maana hata zikidukuliwa basi wazipiga chini na kuUpload upya.
 
Despite all security warnings from the php.net documentation, bado wanatumia
Code:
eval()
Why would they want to execute code from a string? Kha!
 
Halafu kaachia warning imeanika path yote.
Duh nawafahamu webmaster, nitawapa taarifa waifanyie kazi.
 
karibu website zote za.taasisi za serikali hazieleweki
Hakuna updates inayofanyika
Mpangilio wake hauridhishi
Wakati mwingine unashida kutaka kupata jambo huko mwisho wa yote UTAISHIA KUKEREKA TU.SIJUI HAWANA WATAALAMU.?
ILA WANAJUA KUTUJAZIA MAPICHAPICHA YA WATU KILA AINA!
 
Yeah!!.. na ndio kilijonisikitisha zaidi..

Website ikiwa kwenye production unafaa kulog errors zote sehemu na sio kuzianika hadi zinaonyesha path.
Anyway nimeongea na jamaa natumai wameifanyia kazi mara moja isije kuwa aibu.
 
Website ikiwa kwenye production unafaa kulog errors zote sehemu na sio kuzianika hadi zinaonyesha path.
Anyway nimeongea na jamaa natumai wameifanyia kazi mara moja isije kuwa aibu.

Thanks mkuu... I hope itakuwa hivyo.
 
sio jambo la kushangaza kwa web za TZ hasa za serikali kukuta hayo na ni watu kuchukulia kila kitu rahisi rahisi tu.
Mfano. Ukidukua website kuna viashiria vinabaki ambavyo vitakufanya ukamatwe baadae?
Km vinabaki unapaswa ufanye nn ili usiache viashiria?
 
Mfano. Ukidukua website kuna viashiria vinabaki ambavyo vitakufanya ukamatwe baadae?
Km vinabaki unapaswa ufanye nn ili usiache viashiria?
Vipo mkuu kama unadukua bila kua na security layer yoyote lazma wakudake mana kila device inapoingia net inapata IP address pia kila device INA mac address amabayo aibadiliki japo kuna RAIA wanaweza I change izo ndo zitakukamatisha manake utumie tor au VPN yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom