one of the best and most capable phone of its time, tatizo ni ya zamani sana, though unaweza kuiupgrade software yake kupwenda windowsphone 10.
lumia 920 its abit outdated, ni vyema ingeenda for lumia 950. pia microsoft wamesitisha production ya lumia phone tena. hakutakuwa na simu nyingine baada ya lumia 650 iliyotoka mwaka jana. hii itadiscourage app developers kuandika apps mpya za hizi simu.
Lumia 920 na zote zenye Dual core processor hazipokei windows 10 mi hapa nnayo Lumia 925 kama unahitaji naweza kukuuziaNashukuru mkuu,kwamaana hyo,hii simu haitaweza kupokea apps mpya hata nikii upgrade kwenda window 10?
250kunaiuzaje mkuu
Mwezi uliopita nimerudi android kutoka windowphone Os,nilikuwa natumia nokia lumia 830 na bado ninayo
Nakushauri kama vipi achana nayo hiyo 920 ni ya zamani mno ingawa inaupdate ya window 10 lakini huko ni window ni majanga mkuu wala usiende jela hiyo
Ina hali gani je waiuzajehiyo lumia mkuu 0621038900Mwezi uliopita nimerudi android kutoka windowphone Os,nilikuwa natumia nokia lumia 830 na bado ninayo
Nakushauri kama vipi achana nayo hiyo 920 ni ya zamani mno ingawa inaupdate ya window 10 lakini huko ni window ni majanga mkuu wala usiende jela hiyo
Tatizo la lumia ni charge mkuu simu haikai na chaji kabisa alafu inaoverheatIna hali gani je waiuzajehiyo lumia mkuu 0621038900
Tatizo ni betri bovu au nicheki kwa hiyo namb tuongeeTatizo la lumia ni charge mkuu simu haikai na chaji kabisa alafu inaoverheat
hapana aisee simu ya windows phone yenye same specs sawa na android, ya windows phone itakaa na chaji zaidi.Tatizo la lumia ni charge mkuu simu haikai na chaji kabisa alafu inaoverheat
Inawezekana ilikuwa na shida hii simu niliipenda camera yake tuhapana aisee simu ya windows phone yenye same specs sawa na android, ya windows phone itakaa na chaji zaidi.
HTC ni shahidi juu ya hili, HTC m8 ilikuwa na specs sawa sawa kwenye android na wp lakini ikakaa na chaji zaidi kwenye wp.
wp haina background task, ni ngumu sana kupata joto na kuisha charge ovyo, ukiona hivyo ujue simu yako ilikuwa na matatizo.