Naomba msaada, simu yangu imeandika "PIN blocked"

STUKA M1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,687
Reaction score
7,305
Hello waungwana...!!!
Nimewrong kublock line yangu ya simu(tigo), So until this time siko hewani.
Simu imeandika " PIN blocked, enter PUK"..
Sasa nimembwera wakuu hata sijui la kufanya na hii namba ndo nilikuwa naitumia kuongea na watu kwa ajili ya shughuli zangu za kujipatia ridhiki..
Yeyote mwenye utaalamu naomba anielekeze namna ya kuovercome hii issue.
 
Kile kidude ulichobandulia line, angalia nyuma yake zimeandikwa
Dah.. mkuu hii namba inamiaka 9 sasa.. hicho kidude kishapotea...!!
Hv huwa havifanani, nikachukuwa chochpte kile then nitegilie..?
 
Hello waungwana...!!!
Nimewrong kublock line yangu ya simu(tigo), So until this time siko hewani.
Simu imeandika " PIN blocked, enter PUK"..
Sasa nimembwera wakuu hata sijui la kufanya na hii namba ndo nilikuwa naitumia kuongea na watu kwa ajili ya shughuli zangu za kujipatia ridhiki..
Yeyote mwenye utaalamu naomba anielekeze namna ya kuovercome hii issue.
Mwanzo ilikuambia "Inter pin"
Wewe ukawrong pin mara tatu
Ukablock pin. Sasa inakutaka uingize "PUK".

Chakufanya azima simu ya jirani yako hapo anayetumia mtandao wako huo, piga huduma kwa wateja, waombe hizo PUK, kuna maswali mawili matatu ya kujibu kisha watakutajia...

Kuwa mwangalifu ukiendelea kuingiza wrong puk utaiblock line, na hapo utaihitajika kuswap namba yako..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo imeshablock hapk ni ku-renew tu..naamini hakuna option ya kuingiza PUK..

mwanza kwetu
 
Mwanzo ilikuambia "Inter pin"
Wewe ukawrong pin mara tatu
Ukablock pin. Sasa inakutaka uingize "PUK".

Chakufanya azima simu ya jirani yako hapo anayetumia mtandao wako huo, piga huduma kwa wateja, waombe hizo PUK, kuna maswali mawili matatu ya kujibu kisha watakutajia...

Kuwa mwangalifu ukiendelea kuingiza wrong puk utaiblock line, na hapo utaihitajika kuswap namba yako..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom