Yamal 52. East

Yamal 52. East

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,535
Habari za muda huu wapendwa wa jf ?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimetumia muda wa siku 2 kuitafuta chaneli ya Varzish sport hd inayopatikana kwenye satelite tajwa hapo juu bila mafanikio,

Juzi nilitembelea forum fulani ya paksat nikaona friquency imara za kukamatia yahsat ni 11881 v 27500 au 11900 h 27500 nikajitahidi kutafuta mwisho nikaambulia michaneli ya dstv ila tp ni za yahsat ,

Nilitumia dish futi 6 na mpeg 2 risiva ,
Uelekeo uliokubali hizo tp ni kama wa paksat r 38 e je ni uelekeo sahihi wa yahsat au nilikosea?

KARIBUNI TUSUGUE AKILI SATELITE HUNTERS WENZANGU.
 
Kuna Uzi kuhusu ii mijitu,.. Ungeucheki wanaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom