Natatuaje hili tatizo ndani ya JF app?

Natatuaje hili tatizo ndani ya JF app?

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,894
Reaction score
52,487
Msaada tutani,
Kwa karibia wiki sasa nimekua nakutana na alama katikati ya bandiko kitu kinachoninyima uhuru wa kusoma vizuri.
Nimejaribu ku update Jamii forum lakini bado tatizo liko vilevile.
Natumia jamii forum app na alama ni kama zinavyoonekana kwenye screenshort,
Je nawezaje kuziondoa ili andiko lisomeke bila hizo alama?
Screenshot_20170811-061125.png
Screenshot_20170811-060509.png
Screenshot_20170811-061040.png

love thé love or hâte thé love.....
 
Hicho kialama kinakuwepo kwenye cm. Aither Kuna aunt virus cleaning umedownload. Ndo ipo hivyo.
Na hakina mathara. Jaribu kukilic Hicho

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Hicho kialama kinakuwepo kwenye cm. Aither Kuna aunt virus cleaning umedownload. Ndo ipo hivyo.
Na hakina mathara. Jaribu kukilic Hicho

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Sijakuelewa ..
Na sina ant virus kwenye simu.

love thé love or hâte thé love.....
 
Umedownload keyboard yoyote??..kuna app umeidownload inafanya madudu ayo,..
 
Hiyo huwa inatokea pale JF inapokuwa kwenye matengenezo baadaye huwa inarudi kuwa sawa,jaribu kudownload app ya tapatalk ndani yake unadownload app ya jf utaitumia vizuri bila usumbufu.

-Ndumilakuwili-
 
Ngoja nifanye hivyo

love thé love or hâte thé love.....
 
Hiyo huwa inatokea pale JF inapokuwa kwenye matengenezo baadaye huwa inarudi kuwa sawa,jaribu kudownload app ya tapatalk ndani yake unadownload app ya jf utaitumia vizuri bila usumbufu.

-Ndumilakuwili-
Ahsante sana sasa natumia tapatalk hizo alama hamna.[emoji4]
 
Back
Top Bottom