Msaada wa kuformat flash ya samsung 64GB exfat

spleeingiant

Senior Member
Oct 24, 2016
138
44
Wakuu naombeni msaada wa kuformat flash aina ya samsung ina ukubwa wa 64GB na kila nikiweka kwenye pc inataka ni format nikifornat inagoma.
 
Namimi nahaka katatizo na flash ya hp 64gb sijui nifeki manake nilinunua kwa mmachinga 5000 lakini ilikuwa na nyimbo na movie nikatumia tumia wiki tuu ikaanza zingua
 
Back
Top Bottom