Jinsi ya kuondoa au kufunga matangazo kwenye apps za iphone

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,764
Watu wengi hatupendi matangazo yanyayo jitokeza kwenye apps.
Ili kuyaondoa uwa mwenye app anakutaka uilipie uwe premium user.
Kwa android kuna apps kibao kama adblock na nyingine maana android ni rahisi kuroot hizi usaidia ku block hayo matangaZo.
Sasa kwa upande wa iphone ni ngumu kidogo ila kuna njia ya kuyaondoa kwa apps ambazo hazihitaji internet kuzirun pale ukisha zidownload, mfano bible, music players n.k.
Unachotakiwa kufanya ni kwenda settings, cellular then chini utaona apps zote fanya kuswitch off app ambayo hutaki iaccess internet, ukifanya hivyo hutaona matangazo utakapoifungua next time
 
Mkuu samahani nina iphone ambayo siwezi kuigiza vocha wala kujiunga kifurushi nikifanya hivyo inaenda kama call ya kawaida tatizo gani linawezakuwa limeikumba sim?
 
Nina iphone 4g haitak kudowload chochote inasema ni update ios kufikia 9.3 na kuendelea sasa nifanyaje ili niipate hiyo 9 maana yenyew ina 7. 1.2 msaada please
 
Tafuta ata iPhone 4s au 5 ambazo now ni very affordable mkuu, yakwako iOS 7 ndio mwisho wake na 4s hiyo ndio inaenda mpaka 9. Nlishawahi soma mahali kuwa unaweza zi load apps ambazo device yako haipo compatible nazo baada ya ku jailbreak ila sijawahi jaribu hicho.
 
Nina iphone 4g haitak kudowload chochote inasema ni update ios kufikia 9.3 na kuendelea sasa nifanyaje ili niipate hiyo 9 maana yenyew ina 7. 1.2 msaada please
Mkuu apple alishaacha kuipa support iphone 4, sina hakika kama bado update zake zinaishia ios 7 ila tafuta wireless iconnect then nenda settings, general, software update ita search na kukwambia kama kuna updates zake zikipatikana bonyeza install ita download na kuinstall ila uwe na bundle ya kutosha kwenye hiyo wireless source yako.
Hata iphone 5 usinunue apple kaacha zipa support simu zenye 32 bits processor nunua kuanzia 5s na kuendelea ikiwezekana nunua iphone SE kabisa na kuendelea
 
Watu wengi hatupendi matangazo yanyayo jitokeza kwenye apps.
Ili kuyaondoa uwa mwenye app anakutaka uilipie uwe premium user.
Kwa android kuna apps kibao kama adblock na nyingine maana android ni rahisi kuroot hizi usaidia ku block hayo matangaZo.
Sasa kwa upande wa iphone ni ngumu kidogo ila kuna njia ya kuyaondoa kwa apps ambazo hazihitaji internet kuzirun pale ukisha zidownload, mfano bible, music players n.k.
Unachotakiwa kufanya ni kwenda settings, cellular then chini utaona apps zote fanya kuswitch off app ambayo hutaki iaccess internet, ukifanya hivyo hutaona matangazo utakapoifungua next time
Naomba unielekeze kwenye android maana kero kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi hatupendi matangazo yanyayo jitokeza kwenye apps.
Ili kuyaondoa uwa mwenye app anakutaka uilipie uwe premium user.
Kwa android kuna apps kibao kama adblock na nyingine maana android ni rahisi kuroot hizi usaidia ku block hayo matangaZo.
Sasa kwa upande wa iphone ni ngumu kidogo ila kuna njia ya kuyaondoa kwa apps ambazo hazihitaji internet kuzirun pale ukisha zidownload, mfano bible, music players n.k.
Unachotakiwa kufanya ni kwenda settings, cellular then chini utaona apps zote fanya kuswitch off app ambayo hutaki iaccess internet, ukifanya hivyo hutaona matangazo utakapoifungua next time

Mchango wako ni mzuri ila kazi yake ni ndogo sana
Maana smartphone bila internet ni kazi bure inakuwa under utilized. Soma ios 10 ujue undan wake ktk kutumia iphone
Kila kitu lazima kipate access ya internet hasa wifi
 
Mkuu kuna apps ukishazidowbload huitaji internet kuzitumia mfano, bible, offline games, mfano kama huplay nyimbo online wala kudownload via tubidy kwanini usiifungie net kuepuka matangazo.
Ndiyo maana nimesema apps ambazo hazihitaji net ili kurun ukisha zidownload na apps za ku edit picha pia
 
Nilikusoma vizur mkuuu ndio maana sijakupinga kabisa ila nikasema kukosa internet kwenye cm inapoteza utam, ingekuwa vema unatibu permanent cm ikiwa free. Ukitumia wifi uwezi kurestrict matumiza ya data kwa baadhi ya apps lazima utumie cellular data tuu

Mim pia huwa na kwazika maana apps ninazo tumia zinatumia data na matangazo lukuki
 
mkuu samahani kwa kuchelewa sipati notifications za jf ni kwamba inatumia gevey na ina ios 9
Hyo a kujail break then unaweka repo ya ussd mkuu. Usii upgrade kwanza maana ukiweka ios 10.3.3 sijaona jail break yake.
 
Back
Top Bottom