ios 10.3.3 Update

ios 10.3.3 Update

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Ninataka kujilipua kwa ku update simu yangu kwenda IOS 10.3.3 ni iphone 6 plus sasa wananiletea update ya Ios 10.3.3 Naomba ushaurii Niifanyaje hiyo update au itaniletea shida kwa wazoefu naombeni mnisaidie
 
kua muangalifu usibahatishe unaweza ukaizima mazima
 
Ninataka kujilipua kwa ku update simu yangu kwenda IOS 10.3.3 ni iphone 6 plus sasa wananiletea update ya Ios 10.3.3 Naomba ushaurii Niifanyaje hiyo update au itaniletea shida kwa wazoefu naombeni mnisaidie
Iko poa update tu haina cha zaidi labda icloud settings zitahamia on the top kwenye settings, na itakutuhusu kuongeza security options kwa kuweka namba ama email inaitwa two factor authentication.
99c964affa92bb8321e99e2c7a236937.jpg
 
haya hongera kwa kuwa na iphone,nadhani umeridhika sasa,eti najiripua...wabongo hatuishi vituko,ukute wewe ni jitu zima kabisa na una vifaranga..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom