Oppo R11 plus

Oppo R11 plus

mkuu ni simu nzuri sana hio soc yake ya snapdragon 660 ni nzuri sana kwa simu za mwaka huu, ila angalia na bei.

kama bei yake inafikia oneplus 5 basi op5 ni simu nzuri zaidi ila ikiwa chini ya hapo huwezi pata simu yenye nguvu kushinda hio.
 
Upo sahihi mkuu...nina week mbili sasa tangu nikamate oneplus 5 64GB.....hii machine ni hatari sana. Ali wanaisukuma kwa $507 including shipping to TZ.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom