C.I.A na Google wanakusanya fingerprints kupitia touchscreens za smartphone na tablets.

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
fingerprint-apple-touchid.jpg

validity-i.jpg

Americans are too smart to get rid of them aisee. Inasemekana Kampuni ya Google kupitia operating system yake ya android ambayo ndio the widely used smartphone O.S kwa sasa wanakusanya fingerprints za watumiaji wa touchscreen worldwide na kuzituma nchini mwao kwa matumizi ya kiusalama.

Kwa sasa hawa jamaa wanayo database kubwa sana kwa ajili ya kutunza taarifa za alama za vidole walizokusanya duniani mpaka sasa kupitia touchscreen za smartphone na tablets.
 
Katika nchi ambazo ziko vzr ktk sector ya ulinzi na usalama wa nchi Yao ni USA..hata raia wake wana uzalendo wa hali ya juu sana sana...waache wabuni mbinu za kulinda taifa Lao..sisi Tixx wetu kwanza tunawabana wapinzani na kuwapima mikokjo usalama wa taifa na nchi baadae na uzalendo baadae...
 
View attachment 568059

View attachment 568060

Americans are too smart to get rid of them aisee. Inasemekana Kampuni ya Google kupitia operating system yake ya android ambayo ndio the widely used smartphone O.S kwa sasa wanakusanya fingerprints za watumiaji wa touchscreen worldwide na kuzituma nchini mwao kwa matumizi ya kiusalama.

Kwa sasa hawa jamaa wanayo database kubwa sana kwa ajili ya kutunza taarifa za alama za vidole walizokusanya duniani mpaka sasa kupitia touchscreen za smartphone na tablets.
Acha wapimwe. Maananhata wewe sio mzalendo. Rais wao hapendwi na wanachi wake ila hakunananayemsema vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahalifu ndio wamapaswa kuhofu
Unaonekana uwelewa wako wa hilo swala ni ndogo sana sishangai.Wanachokifanya hapo ni sawa sawa na polisi kuja home kwenu na kuanza kukupiga picha ukiwa bafuni alfu ukawaambia kuwa hauna shida bali wahalifu ndo wanapaswa kuhofia
 
Acha wapimwe. Maananhata wewe sio mzalendo. Rais wao hapendwi na wanachi wake ila hakunananayemsema vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dunia unayoishi wewe kwa sasa mbali na tulipo maana dunia tuliopo sisi kwa sasa hakuna rais anaenangwa na watu wake kama [HASHTAG]#donald trump[/HASHTAG] ,yaani nusu au zaidi ya wamerekani wanamtusi,wanamkebehi na kushinikiza ajiuzulu kila siku kupitia redio,televisheni na mitandao ya kijamii.
 
Back
Top Bottom