Habari zenu wakuu
Leo naomba kufahamishwa mambo machache kuhusu gari za automatic
Oil ya gia box inapaswa kumwagwa kila baada ya km ngapi?
Je ni kwel engine oil inatofautiana, yaani zipo za...
Wakuu naomba msaada wenu nataka kuundA App nitakayochapisha simulizi zangu maana nina kipaji cha uandishi msaada jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
I have a business in Tanzania, though I am LA, I want to verify my business in Tanzania and put it in a map, but the thing is, in Tanzania NO physical address, how do you guys manage this one as I...
Mabibi na Mabwana salaam. Naomba mnisaidie jinsi ya kutengeneza division na points zake kwenye matokeo ya wanafunzi kidato cha nne, kwenye EXCEL score sheet. Tafadhali ni urgent kwangu maana...
Nimechunguza na kufatilia sana hi ishu kwamba kwanini nchin kama Kenya wapo mbele kwenye haya abmo ya kutengeneza games na softwares nikagundua kwamba asili ya wabongo nayo inachanhia...
Habari ndugu zangu,
Kwa kifupi nina iPhone 4s, lakini naona battery yake haipo vizuri (nikimaanisha kwamba utwezo wa kutunza chaji ni mdogo), hivyo nilikuwa ninahitaji kufahamu gharama za battery...
Wakuu natafuta IC ni spea kwa ajili ya Projector. Mtu yeyote aliyenayo au aliye na uhakika mahali inapopatikana naomba anijulishe. Ni TOP256YN, asanteni wakuu.
jaman kuna MTU muuza laptop yeye yupo dar~es~salaaam Mimi nipo mwanza unataka kuniuzia PC je mzigo utafika salama ama ndo wizi bado sijatuma pesa natafta ushaul kabla ya kufanya maamuzi...
Wakuu nina tatizo kwa simu yangu
Simu yangu ni ya LG G3 tatizo linakuja kuwa nikiwasha data nikiingia internet tu inajizima na kujiwasha yenyewe sasa nashindwa kujua tatizo ni nini?
Maana yake ni...
Nina Tv ambayo ina internal Receiver. yaani napokea free to air channels kama ITV,CITIZEN,CLOUDS,CHANNEL 10,AL JAZEERA,SAUD2,STAR TV,STAR MOVIES PLUS,STAR BUNGE n.k
Je! kuna utaalamu gani au...
Habari wana JF, Ni muda mrefu sana toka kuandika makala hapa lakini hii ni kutokana na changamoto kadhaa lakini sasa tumerudi tena. Basi bila kuwachosha sana leo nimewaletea hii ya Kupata pesa...
Habari Wakuu!
Kawaida hua natumia "Startimes" Digital satellite Receiver pamoja na decorder yake. Lakini karibuni nimepata "MediaCom MFT-930plus" satellite Receiver (MPEG2). Swali ni Je! Naweza...
Microsoft imetangaza Nokia X zitahamia Windows Phone na hivyo kuwa mwisho wa kutumia operating system ya Android ya mpinzani wao Google.
Among the details in Microsoft's big layoff news was...
Habari wakuu.
NAOMBA msaada kwa yoyote aliye na simu Aina ya samsung J3 (2016) na aitumii,au ni Mbovu kitu kingine tofauti na Display Screen. aniuzie spare ya Display Screen, yangu imevuja wino...
Habari wanajukwaa
Nina laptop yangu aina ya dell latitude 6400 haitoi sauti toka Jana usiku
Hivyo ninaomba mwenye uelewa na aina hii ya laptop anisaidie
Naombeni mnisaidie kuhusu hili
Play store ya simu yangu tecno C5 inaandika hivi
*error retrieving information from server . [RH-01] *
Je nini tatizo na solution yake wakuu ????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.