Msaada: Kuhusu ku trace simu iliyoibiwa

OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,965
5,336
Naomba msaada namna ya ku trace simu iliyoibiwa imei yake ninayo sasa niwasiliane vip na TCRA ili au tuipate au tuifunge??
 
Naomba msaada namna ya ku trace simu iliyoibiwa imei yake ninayo sasa niwasiliane vip na TCRA ili au tuipate au tuifunge??
Unatakiwa uende polisi. Uwaambie unataka ufungue kesi ili waweze kuitrace hiyo simu. Polisi ndio wataenda kwenye kampuni za simu kuitafuta/kuitrace
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom