Naweza kutumia Decoder ya Startimes kwenye Receiver ya MediaCom?

nyocksie

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Posts
408
Reaction score
267
Habari Wakuu!
Kawaida hua natumia "Startimes" Digital satellite Receiver pamoja na decorder yake. Lakini karibuni nimepata "MediaCom MFT-930plus" satellite Receiver (MPEG2). Swali ni Je! Naweza kutumia Decoder ya Startimes katika hii Receiver ya MediaCom!?

Kama inawezekana, naomba kujulishwa conditions nazotakiwa ku-adhere nazo ili nifanikiwe kutumia kifaa hicho....!
 
pole kwa kuchanganya nyama na maharage
Inshort hujaeleweka
Receiver=Decoder=King'amuzi au kisimbuzi

Anyway acha kujifanya mjuaji huku hakuna unachokijua
Nimekuonya kutokana na msisitizo ulioweka kwa mabano, ''-'' na kiingereza usichokijua
 
Labda nikusaidie japo maelezo yako uliyachanganya. Kama una maanisha kutumia risiver ya mediacom kwa dish la Star time jibu ni Ndio ila utapata channel ambazo ni Free to Air tu. Pia ambazo ziko kwa mfumo wa Mpeg 2. Cha kukusaidia kama unapenda channel za dini za Kinaijeria mtafute fundi utazipata nyingi sana. Vinginevyo Tafuta dish za ft 6 au nane ila pia ni bora Risiver yako iwe hd kama ile ya Continetal unaweza faidi alao kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo yako hayaelewek unataka nini,maana hapo zote mbili ni decoder sasa una uliza je nawwza kutumia decoder ya star times kwenye receiver ya mediacom sijui maana yake nini hapo, labda ungeuliza "je? Naweza kutumia dish la star times kwenye decoder/receiver ya mediacom ?"Ndio labda watu wangekusaidia
 
anamaanisha kuwa anaweza kutumia receiver ya media com kwa startime dish?
 
pole kwa kuchanganya nyama na maharage
Inshort hujaeleweka
Receiver=Decoder=King'amuzi au kisimbuzi

Anyway acha kujifanya mjuaji huku hakuna unachokijua
Nimekuonya kutokana na msisitizo ulioweka kwa mabano, ''-'' na kiingereza usichokijua
Mkuu wapi nimejifanya mjuaji!?
Plus nijua kulikua na haja gani ya kuja kuuliza hapa!?
Kumbe Receiver na Decoder ni kitu kimoja!?
 
Labda nikusaidie japo maelezo yako uliyachanganya. Kama una maanisha kutumia risiver ya mediacom kwa dish la Star time jibu ni Ndio ila utapata channel ambazo ni Free to Air tu. Pia ambazo ziko kwa mfumo wa Mpeg 2. Cha kukusaidia kama unapenda channel za dini za Kinaijeria mtafute fundi utazipata nyingi sana. Vinginevyo Tafuta dish za ft 6 au nane ila pia ni bora Risiver yako iwe hd kama ile ya Continetal unaweza faidi alao kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteh Mkuu!
 
Back
Top Bottom