Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wanajamii nawasalimu wote...habari zetu. Mimi natumia simu aina ya LG (G FLEX) curve sasa tatizo haitaki kufungua menu ya miamala ya mitandao ya hapa Tanzania, nikijaribu inaniletea ujumbe usemao...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tupia jina la timu yako tukufuate online. Baada ya mpambano "screenshot" inahitajika.....
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Sorry Mwenye software ya Kulfash Simu Miracle Box Naomba tafadhali anipatie link tu ...
1 Reactions
1 Replies
737 Views
Naombeni msaada kuhusu simu iliyoibiwa baada ya kupatikana ukitaka kuhakikisha kama ndo yenyewe unafanyaje! tofauti na ile njia ya ku backup photos kwa email kwani email haikumbuki mwenye nayo.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba mjuzi anisaidie ,nataka ku update eurotruck sasa kuna ka program(updater) kana demand nikahamishie kwanza niliko install hiyo game ili niweze update, nikijaribu kuhamisha inagoma Sent...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba msaada wenu wapi naweza kununua thermostat nzuri ifanye kazi kwenye incubator yangu. Ningependelea zaidi digital thermostat
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumia simu ya samsung,tatizo ni kwamba android market haifunguki,ina load kisha inaandika server error.Naombeni msaada wenu nimejaribu kurestore lakini tatizo bado Ahsanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nataka Kurecovery My Google Account Ila Nafika Mpaka Hatua Ya Mwisho Ila Sielewi Nitazipataje Verification Code Wakati Account Inataka Password... Anayejua Msaada Tafadhari
0 Reactions
6 Replies
873 Views
Wakuu habari, naomba mwenye ujuzi wa ku crack applications anisaidie process zake, Maana nimejaribu mara kadhaa nakua nafail Ahsante. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Jamani wana jamii,habari zenu. Nimekuwa nikifatilia namna ya kuhost website na blogs. Naomba msaada wenu,mnifahamishe hapa kidogo. Hivi mtandao kama kupatana ,jamii forum wanafanya dedicated...
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Hy wana JF....!!! Naomba kuelekezwa namna ya kujiunga kifurushi hiki cha Clouds plus, kinachopatikana kupitia king'amuzi cha Azam tv.. Maana mishe zote za Fiesta 2017 zitakuwa zinapatikana humo...
0 Reactions
10 Replies
19K Views
kuna rafiki yangu anatak kuniuzia samsung j1 2016 ila kabla sijaichukua naomben mnipe mdokezo iko vipi kwa wanayoifahamu au kuitumia specs zake nimezicheki ila nahitaji ushauri pia... Sent using...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamvi. Hivi karibuni nilinunua kutoka katika Vodashop aina hii ya modem (K3772-Z) lakini kwa bahati mbaya eneo ninaloishi mtandao wa Vodacom hauko vizuri kwenye Internet...
0 Reactions
21 Replies
20K Views
Habar za majukum wakuu? Bila kupoteza muda naomba kuuliza tangu kukatazwa kurushwa drones na TCAA bila kua na idhini ya wizara ya usalama na kibari toka TCAA, je kuna mtu amefata taratibu na...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
nataka kununua ila nataka ushauri kwa alietumia au anaetumia aniambie au kwa anaeijua vizuri?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
912 Views
Hello Gentleman and ladies, Naomba msaada wenu jamani, nataka niwe naficha Apps kama vile ya Badoo au truecaller ili mtu asione nitafanyaje wakuu wangu. Msaada please. Sent using Jamii Forums...
2 Reactions
14 Replies
12K Views
Hello ndugu zangu,laptop yangu inatatizo la kujizima hasa inapochemka baada ya kuwa imefanya kazi sana.Sasa hivi naona tatizo linazidi haiwezi kukaa hata lisaa limoja bila kujizima tofauti na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni maelezo jins ya kupata whatsapp plus isiyoonyeshaa zile double blue tick Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nilikuwa naomba maelekezo jins yaku toa sim lock network provider kwa vodaphone Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
665 Views
WanaJF mambo vp? Jamani naombeni kufahamishwa jinsi ya kufunga cctv camera au hadi ukapige kitabu?
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Back
Top Bottom