king of the North
Senior Member
- Jul 26, 2016
- 102
- 55
Habari wakuu.
NAOMBA msaada kwa yoyote aliye na simu Aina ya samsung J3 (2016) na aitumii,au ni Mbovu kitu kingine tofauti na Display Screen. aniuzie spare ya Display Screen, yangu imevuja wino.
Anitafute kwa Pm tuweze ongea Bei.
Nime attach na picha hapo wakuu.