Play store ya simu yangu tecno C5 inaandika hivi; error retrieving information from server

Play store ya simu yangu tecno C5 inaandika hivi; error retrieving information from server

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
5,172
Reaction score
6,465
Naombeni mnisaidie kuhusu hili

Play store ya simu yangu tecno C5 inaandika hivi

*error retrieving information from server . [RH-01] *


Je nini tatizo na solution yake wakuu ????
 
Kabla ya kutatuliwa hlo tatizo lko je hiyo playstore mwanzo ulikuwa ukiitumia then baadae ndio ikaanza kuleta hayo maneno au ilikuwaje
 
Jaribu ku clear caches na data za play store...
 
Weka kwenye kindoo cha maji SAA 11 asubuhi ikifika saa1 asubuhi itoe kila kitu kitakuwa clear
 
shukrani kwa wote walio nisaidia kimawazo
POSITIVELY



nimefanikiwa ku irejesha katika hali yake now ina function vizuri baada ya ku update google play service kutoka GOOGLE SEARCH .. thanks
 
Back
Top Bottom