Nataka kutengeneza App ya kuchapisha simulizi zangu

Nataka kutengeneza App ya kuchapisha simulizi zangu

Ngoja niweke kijiwe hapa
《Chochote ni silaha suala ni matumizi》
 
1. Jifunze Database design
2. Jifunze walau lugha 1 kwa ajili ya kuandika Web API
3. Jifunze angalau lugha 1 kwa ajili ya kuandika Mobile App
4. Andika App yako
5. Weka Store na uitangaze
.............
 
Back
Top Bottom