Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,228
- 1,828
Habari ndugu zangu,
Kwa kifupi nina iPhone 4s, lakini naona battery yake haipo vizuri (nikimaanisha kwamba utwezo wa kutunza chaji ni mdogo), hivyo nilikuwa ninahitaji kufahamu gharama za battery zake.
Natanguliza shukrani.