Ushauri: Akinitumia mzigo kutoka Dar utanifikia Mwanza?

Ushauri: Akinitumia mzigo kutoka Dar utanifikia Mwanza?

Omary idd

Member
Joined
Sep 5, 2017
Posts
65
Reaction score
13
jaman kuna MTU muuza laptop yeye yupo dar~es~salaaam Mimi nipo mwanza unataka kuniuzia PC je mzigo utafika salama ama ndo wizi bado sijatuma pesa natafta ushaul kabla ya kufanya maamuzi
laptop IPO hivi:
PC Ram 8GB
1000GB
core i3
Bei ni laki tatu na nusu (350,000/=) msaaada wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo PC gani specification kali pesa ndogo.

Hapo subiri kupigwa tunasubiri mrejesho wa kupigwa usisahau
 
jaman kuna MTU muuza laptop yeye yupo dar~es~salaaam Mimi nipo mwanza unataka kuniuzia PC je mzigo utafika salama ama ndo wizi bado sijatuma pesa natafta ushaul kabla ya kufanya maamuzi
laptop IPO hivi:
PC Ram 8GB
1000GB
core i3
Bei ni laki tatu na nusu (350,000/=) msaaada wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiandae kutoa machozi mkuu. Huyo ni tapeli mzoefu.
Kwa hiyo hela huwezi kupata pc ya specification hizo hata km ni used. Mkuu hapo jiandae kupigwa tu hakuna namna. Ha ha ha ha
 
Usitume pesa huwezi pata PC ya aina hiyo kwa pesa tajwa, kama una ndugu, jamaa au rafiki anayeishi huku ongea nae umtumie mawasiliano ya jamaa akaione PC kisha utamtumia pesa baada ya kujiridhisha vinginevyo utatapeliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom