Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Amani iwe kwenu wadau Mimi nina tatizo kwenye PC yangu, toka nimeweka window ten nimekutana na tatizo la kutumia mb nyingi kwa muda mfupi tu. Nimejaribu hata kupata option ya kudisable automatic...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
GUYS NAOMBA MSAADA MWENYE ROM YA TECNO Y3+ TAFADHARI NAOMBA LINK AMA TUWASILIANE. NAHITAJI HII FIRMWARE: Y3_PLUS-H721A2-KK-TZTG-LC-161010V2
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu! Ninashida ktk simu yangu, kwa kifupi imekufa baada ya kuflash na file ambalo liko chini ya uwezo wake, nina tecno y3 plus, nilichukua details zake kabla sija-flash, ila baada ya...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Amani iwe kwenu wadau wa hili Jukwaa!! Hii Modem ni mpya kabisa nimetoka kununua dukani pale mlimani lakini baada ya kufanya installation kwenye Pc uki ifungua ili uweze ku Connect na internet...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu naombeni msaada kuhusu hivi vidude maana sasa nina wiki ya pili sina umeme kwangu hii Luku ilizima gafla nikawaita Tanesco wamekuja wanasema tulichomeka vitu vinavyotumia umeme sana hivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH In shaa Allaah, Leo Tutajuzana JINSI YA KUFICHA PICHA & VIDEO ZA KWENYE GALLERY BILA KUTUMIA APPLICATION. HATUA ZA KUFUATA 1. Ingia Kwenye FILE...
13 Reactions
81 Replies
24K Views
nataka kufaham ufanyaji kazi wa remote control.ni vipi remote zinafanya kazi na kwanini remote haziwezi kuingiliana ? na wakati remote ina oparate kipi huwa kinfanyika?? na je kwenye saketi ya...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari zenu wadau wa JF Nilikua naomba msaada wenu kwa anaefaham kutatua tatizo la sim ya Tecno Y4 kuna sms moja huwa inaingia kutoka kwa mtu nwingne na inafanana kila ninapokua ninaiwasha sim...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mfano mtu umenunua simu labda ni G920P yaani Model Number halali inayoonekana kwenye ownload Mode, sasa kwenye software model number inaonesha ni G920F.....labda uka update simu yaani softwaare...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauliza kuhusu hizi simu zetu hususani za batan. Je; ni kweli kwamba Kuna kipindi zinaisha nguvu ya kukamata network ya mitandao ya simu?. Kwa sababu niko kijijini Nina simu yangu ya batani ambayo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hata kama hauna ishu ila ni mjanja mjanja, lazima watakusifu we ni mjanja mjanja....YO YO YO, naenda kiwanja sina mkwanja.....Kila kitu ni ujanja ujanja....Big up kwa young dee kuendelea...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wanajanvi kwa yeyote anayehitaji kuunganishwa na huduma ya kuuza vifurushi na muda WA maongezi WA TIGO. Vifurushi + Salio, unaweza kunicheki kupitia hapa 0674565640, 0758125896. Huduma ni bure, na...
1 Reactions
3 Replies
8K Views
SMSCaster - Bulk SMS text messaging software. Send marketing SMS text message with mobile phone/GSM modem from PC! Your mobile number has been Awarded 960,000 Euros in the 2017 Toyota Xmas Award...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani simu yangu inanletea notification za hivyo,,,,,,,is it possible kwamba kuna mtu ananispy au kunidukua?? Na nifanyeje kuepukana na hilo???
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Hi gt kuna rafiki yangu kafungua account jf lkn akilogin hawezi kupost wala kucomment tatizo nini
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Ndugu wana jf natumai muwazima wa afya tell Niliitaji kujuza kwa wenye ufahamu na uelewa wa app nzuri ya kusoma vitabu yani ambayo itakuwa nasoma kitabu yenyewe mi kazi yangu inakuwa kuskiliza tu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari yenu?. Mi ni mdau mkubwa wa kupoteza simu yaani nimekuwa na tatizo hili mara kwa mara na ndani ya wiki mbili nimepoteza simu 3. Kiukweli hali hii inaniuma sana na inaathiri uchumi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wataalam, baombeni Masada namna ya kufanya installation ya App ya Google Play Store katika Tablet, Aina ni Samsung
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama ume sahau pattern yako ya simu na umejaribu kuweka mara nyingi ika jifunga cm hutakiwi kusumbuka tena kinacho takiwa zima simu arafu washa na wakati una washa shikilia kitufe cha kuongezea...
3 Reactions
22 Replies
7K Views
Wale wanaohitaji domain name kwa ajili ya Blog/website offer ndio hii Kwa TZs 15,000/= kwa mwaka unapata Domain name za .net au .com Free blogger set up (custom domain) ukihitaji hosting ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom