Je Hii inatoa Warranty ya simu je? na je wanavyofanya hawa Wafanyabiashara ni sawa Je?

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Mfano mtu umenunua simu labda ni G920P yaani Model Number halali inayoonekana kwenye ownload Mode, sasa kwenye software model number inaonesha ni G920F.....labda uka update simu yaani softwaare ikawa G920P ile halali ya simu!

sasa swali langu ni kwamba je ku update simu ni kuvunja warranty/
na je ni sahihi kubadili model number namba ya simu iwe tofauti na original je?

Je sheria inasemaje kuhusu hili je?
 
Back
Top Bottom