Hizi hapa njia za kufungua simu za smart phone

Drax001

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
439
221
Kama ume sahau pattern yako ya simu na umejaribu kuweka mara nyingi ika jifunga cm hutakiwi kusumbuka tena kinacho takiwa zima simu arafu washa na wakati una washa shikilia kitufe cha kuongezea sauti kile cha kupandisha voice arafu itakuletea maneno ya kiingereza chagua ku format data alafu i zime uiwashe itakuwa imefuta pattern itaanza upya kama kiwandani ,,mb. Kumbuka ukifanya hivi kama una music videos zote zita futika ,,...
 
Kama ni password ya number na nimesahau nifanyeje Anko?
 
Kama ume sahau pattern yako ya simu na umejaribu kuweka mara nyingi ika jifunga cm hutakiwi kusumbuka tena kinacho takiwa zima simu arafu washa na wakati una washa shikilia kitufe cha kuongezea sauti kile cha kupandisha voice arafu itakuletea maneno ya kiingereza chagua ku format data alafu i zime uiwashe itakuwa imefuta pattern itaanza upya kama kiwandani ,,mb. Kumbuka ukifanya hivi kama una music videos zote zita futika ,,...
Siku nyingine kabla hujaanzisha mada hakiki kama haipo humu Jf litakuwa jambo bora kwako .

Vinginevyo ni kujitambulisha JF una kamba mguuni .
 
sio kila kitu utachojua leo kwamba hakipo, iyo njia ya zamani sana....

labda nikupe tu angalizo kuna simu zingine za siku izi ata ukiiForce reset zinaomba password ya ku UNlock.

hivyo sahau pattern ila usije kusahau password yako ya google(gmail) account
 
Kama ume sahau pattern yako ya simu na umejaribu kuweka mara nyingi ika jifunga cm hutakiwi kusumbuka tena kinacho takiwa zima simu arafu washa na wakati una washa shikilia kitufe cha kuongezea sauti kile cha kupandisha voice arafu itakuletea maneno ya kiingereza chagua ku format data alafu i zime uiwashe itakuwa imefuta pattern itaanza upya kama kiwandani ,,mb. Kumbuka ukifanya hivi kama una music videos zote zita futika ,,...
sio kwa kila cm. ....
kuna baadhi ya cm ukifanya ivyo unakua ume iharibu kabisa...
 
Kama ume sahau pattern yako ya simu na umejaribu kuweka mara nyingi ika jifunga cm hutakiwi kusumbuka tena kinacho takiwa zima simu arafu washa na wakati una washa shikilia kitufe cha kuongezea sauti kile cha kupandisha voice arafu itakuletea maneno ya kiingereza chagua ku format data alafu i zime uiwashe itakuwa imefuta pattern itaanza upya kama kiwandani ,,mb. Kumbuka ukifanya hivi kama una music videos zote zita futika ,,...
Acha ndugu yangu kunikumbusha hasara niliyoipata
Nami ilifanya hivyo
Nikafuata maelekezo yako

Ajabu ni kuwa ikaniomba Wi-Fi nikajaribu kuiwasha Wi-Fi Bila mafanikio
Ukweli nilihenya ikaniomba niipeleke kuiflash tu.
 
Kitu cha FRP lock
 
sio kila kitu utachojua leo kwamba hakipo, iyo njia ya zamani sana....

labda nikupe tu angalizo kuna simu zingine za siku izi ata ukiiForce reset zinaomba password ya ku UNlock.

hivyo sahau pattern ila usije kusahau password yako ya google(gmail) account
YES kitu cha FRP afu ukute password inakugomea jasho litakutoka ikiwa haujui jinsi ya kubypass
 
Wewe unaweza ku bypass iyo kitu asee!? Maana nilishaletewaga simu ya ivo maana ndio niliaminikaga mimi ni mjuaji ile sehem hila hapo nikagonga mwamba,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom