Simu yangu inaniletea Notification, je kuna mtu ananispy au kunidukua?

273

Member
Sep 12, 2017
64
125
f62a63304c85e0627f1a615ddbac6758.jpg
5810aa732fb28cd4f774182c508ebf88.jpgJamani simu yangu inanletea notification za hivyo,,,,,,,is it possible kwamba kuna mtu ananispy au kunidukua?? Na nifanyeje kuepukana na hilo???
 
reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,742
2,000
Sumu=simu, ngoja waje wataalam, wasipokuja tafta mtu jichatishe nae mwambie "kuna namb ina ni spy je niipereke polisi au nijinyonge halafu kwenye wosia niiandke kama ndo chanzo?". Uone kama baada ya io msg utapata hio notification.
 
Ipananga kulwa

JF-Expert Member
Jul 24, 2017
574
500
Sumu=simu, ngoja waje wataalam, wasipokuja tafta mtu jichatishe nae mwambie "kuna namb ina ni spy je niipereke polisi au nijinyonge halafu kwenye wosia niiandke kama ndo chanzo?". Uone kama baada ya io msg utapata hio notification.
niipereke=× Niipeleke=√ ..

ngoja waje wasubiri wako masijid
 
Prince Mhando

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
6,558
2,000
Pole sana itupe hiyo simu...unafatiliwa na watu wasiojurikana...hiyo ni UHAWEI bila shaka
 
reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,742
2,000
Bahati mbaya simu yangu haiwez ku quote, kutype lazma utafte kwenye giza ndo uone keyboard, umeme ukikata hata kama hujaiconect popote inakuandikia battery low, niliyetaka ku mquote ni uyu jamaa conor, huyu jamaa kila uzi lazma a opose, hakika chadema wakimpata huyu atawafaa. Subilini tu Hata hapa akiona hii comment ataweza a opose kama yeye ha opose.
 
luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
12,248
2,000
Sumu=simu, ngoja waje wataalam, wasipokuja tafta mtu jichatishe nae mwambie "kuna namb ina ni spy je niipereke polisi au nijinyonge halafu kwenye wosia niiandke kama ndo chanzo?". Uone kama baada ya io msg utapata hio notification.

Dah naipenda jf
 
Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
187,625
2,000
Mbona miandiko mingi sawa humu ni mtu mmoja au wengi hamjui kiswahili?

Mleta mada kuna spy application ipo kwenye simu yako inapeleka taarifa zote kwa aliyekununulia simu au uliyempa aitumie kwa muda au mkeo,mchepuko etc
 
mats_

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
382
500
mkuu hyo simu ni ya kwako kweli ?

kma ulinunua kwa mtu isije ikawa ya wizi...
 
Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,485
2,000
f62a63304c85e0627f1a615ddbac6758.jpg
5810aa732fb28cd4f774182c508ebf88.jpgJamani sumu yangu inanletea notification za hivyo,,,,,,,is it possible kwamba kuna mtu ananispy au kunidukua?? Na nifanyeje kuepukana na hilo???
kabla ya msaada..tuambie simu uloitoa wapi?
ulinunua?ulipewa?
na je uliwahi kumuachia mtu kwa mda atumie?
Kwann unanfedhehesha hiv mkuu, kwan n lazma ucoment?? Daah umenkwaza sana
 
msakaa jr

JF-Expert Member
May 18, 2017
3,815
2,000
Mbona miandiko mingi sawa humu ni mtu mmoja au wengi hamjui kiswahili?

Mleta mada kuna spy application ipo kwenye simu yako inapeleka taarifa zote kwa aliyekununulia simu au uliyempa aitumie kwa muda au mkeo,mchepuko etc
Mara nyingi huwa ni applications zakuonesha locations na kuna baadhi ya websites huwa zinaonya kabla hujaanza kubrauzi.Hiyo haina tatizo lolote, wala hakuna anaefuatilia nyendo zake zaidi ya applications amozopakua mwenyewe.
 
juma mpemba

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
2,860
2,000
UNADUKULIWA EITHER NA BOYFRIEND OR GIRLFRIEND.....na hyo app imefichwa..reset sim au jarbu kupga code izi *#2013# au *#0000# izo ni kwa apps nnazozijua..ukipga ita unhide iyo app...ikishndkana reset sim
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom