TRICK 2: PIGA PESA ONLINE KWA SKYPE

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,351
Hata kama hauna ishu ila ni mjanja mjanja, lazima watakusifu we ni mjanja mjanja....YO YO YO, naenda kiwanja sina mkwanja.....Kila kitu ni ujanja ujanja....Big up kwa young dee kuendelea kutufundisha kwamba inabidi tuwe wajanja ili tusurvive...

Ok. katika mwendelezo wa kufundishana njia za kupiga pesa mtandaoni leo tupo episode 2 na tunajifunza kupiga pesa kwa njia ya skype, Skype ni mtandao ambao watu hutumia kuchat kuiga simu n.k, n.k, So tunautumiaje ili uteme madini tuweze kumudu wese la ist na vocha za wabebez;);)

Hii njia inahusiha cost per action ambayo tuliiongelea episode ya kwanza ya jana TRICK: TENGENEZA PESA KIRAHISI ONLINE Cha kufanya hapa ni kwamba first of all inabidi uwe na website ambayo itamfanya mtu aamini kwamba atapata credits za bure za skype, Hii website inabidi aingize username yake ya skype, namba yake na credits ambazo anahisi zitampendeza, Hata zikiwa 900 zitapendeza:):).

Tafuta google au youtube websites ambazo zinatumia hii trick ya "free skype credits" copy hio website kwa kutumia httrack iedit then weka links zako malizia kwa kuihost hata 000webhosts kama huna hela,,,Haya yote yameelekezwa kwenye episode 1 niliyoweka hapa..TRICK: TENGENEZA PESA KIRAHISI ONLINE

After that ingia skype tumia line ambayo huitumiagi weka jina lako liwe kama "skype free credits" weka picha ya skype then anza kusearch majina kwa mfano joseph, irene, mark, etc ..Wengi watakukubalia uweze kuchat nao kwa sababu hawawezi kuliacha zali la free credits;), Kinachofata sasa anza kuwatumia link ya free credits na wakiinstall apps ama kufanya surveys zako. za cost per action .BOOOM, IMETHIBITISHWA, Mpunga ushaingia na maisha yanaendelea....

VYUMA VIMEKAZA WAJOMBA LAKINI WA KUIKAZA AKILI ANKO HAUSIKI:cool::cool:
 
tupia maujanja tuwafilisi wazungu:):)
Hahhahaaaa... Mimi nawafilisi kwa kujipatia bitcoins. Ninachifanya ninaenda kwenye cyber cafe then nainstall app flan ambayo inarun background bila wao kujua then naiactivate kwa username yangu. So all the time hiyo pc ikitumika ku mine cryptocurrency yoyote mm natengeneza bitcoin bila kutumia pc wala mb zangu
 
Hahhahaaaa... Mimi nawafilisi kwa kujipatia bitcoins. Ninachifanya ninaenda kwenye cyber cafe then nainstall app flan ambayo inarun background bila wao kujua then naiactivate kwa username yangu. So all the time hiyo pc ikitumika ku mine cryptocurrency yoyote mm natengeneza bitcoin bila kutumia pc wala mb zangu
Duh ... noma huko umenpoteza
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom