Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Adsnse imekuwa kizungumkuti kwa bloggers wengi sana.. Masharti kibao na pia dolari kuingia hadi uumize kichwa kweli kweli.. Ila yote hayo karibuni yanapotea kutokana na ujio wa Facebook Instant...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman habar zenu wakuu...ndugu yenu hapa natumia asus toop lakin imeshapasuka display ...na nahtaji display mpya kwa mwenye kujua ni jinsi gani naweza kuipata hyo lcd display anisaidie kwakweli ...
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu nashindwa kuelewa ni nn kimetokea kwenye simu yangu kwan siwezi tena kudownload Application yoyote badala yake naandikiwa download pending mda wote hadi naamua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada namna ya kutoa simu inayoishia kwenye WI-Fi settings..... Baada ya simu yangu kuwa slow nkaamua niifanyie hard reset. Sasa kila kinjaribu kuanza upya inaishia kwenye Wi-fi setting aiendlei...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu nilikuwa naomba msaada wa mtu anayejua App ya kubadilisha link ya YouTube Au Instagram to normal video. Nilimepata baadhi Ila ni Android. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wana jf Naomben msaada laptop yangu imekua nzito sana,pindi nikiiwasha tu inakua nzito sana siwez kufanya kazi yeyote.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Za asubuhi guys, hope mmeamka salama. Leo nmekuja na wazo jipya la kujikwamua kiuchumi kwa kutaka kuunda timu ambayo tutatengeneza na kuunda blog yetu kama ti ,na kisha kupeana majukum kwa kila...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Tunatoa huduma za kudesign Logo Product labels Posters and brochures Business card Calendar Billboard ID card Digital drawing Music covers...nk Huduma zetu ni nafuu sana Contacts: Call: 0768829357...
0 Reactions
4 Replies
846 Views
Habari gani nlikua naomba kuuliza wapi naweza badili bitcoin kuwa pesa za tsh seem ambyo iko secured ambyo haoina utapeli? Asante
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwenye simu yangu sielewi kabisa nimerestart simu bado app zingine ziko active
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wajuzi wa mambo hebu naombeni msaada kidogo hapa. Tablet yangu sumsung s2 hawaki wala haiingizi charge kuna mjuzi wa hii kitu humu? Msaada wenu furaja kwangu wakuuu
0 Reactions
0 Replies
403 Views
nokia e73 niliweka kwa betri ya pikipiki yaani kuunganisha terminal zake bila betry wala kipoza charge nilipo washa haikuwaka na nilipojalibu kuweka betri haikuwaka tena je ni nini kinaweza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Simu i mpya. Nimepewa kama zawadi na jamaa yangu toka nairobi. Sijaona apps zake. Ina kitu wanaita talkback. Nikigusa chochote inakitamka. Kwa mfano nikibonyeza l inarudia kwa maneno. Hii...
0 Reactions
3 Replies
797 Views
Habari wadau, tafadhali naomba kufahamishwa namna ya kuroot cm ya techno plus, najaribu kuinstall programme ya hi font lkn inataka nifanye rooting kwanza. Natanguliza shukurani zangu kwenu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu nisaidieni kwani simu yangu haizidi dakika nne lazma ilete matangazo yale yanayotokea kwenye screen(popup) hivyo nakosa raha ndugu zangu. NB:simu yangu ni rooted Cc: CHIEF MKWAWA mwl Rct
1 Reactions
5 Replies
948 Views
1.isiwe itel 2.camera kuanzia 8 mp 3.android kuanzia 6.0 Niko airport mbeya Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
935 Views
Habari za mda huu wakuu. Nina PC aina ya Mecer, ilikua nzima kabisa lakini kwa sasa haiwaki. Nmepeleka kwa mafundi wakanambia maybe INVIDIA ina tatizo lakini hawakufanikiwa kuitengeneza. Je tatzo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndani ya morogoro mjini naomba contact au pm
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Habari waungwana na poleni na majukumu ya pilika za maisha ya kila kukicha. Natatizo ni kwamba nahitaji kuweza kupata msaada wa namna ya kuweza kudisplay nyimbo za tenzi kanisani katika...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom