Msaada tatizo kwenye window ten

Msaada tatizo kwenye window ten

wilcoxon

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2017
Posts
1,271
Reaction score
3,395
Amani iwe kwenu wadau

Mimi nina tatizo kwenye PC yangu, toka nimeweka window ten nimekutana na tatizo la kutumia mb nyingi kwa muda mfupi tu. Nimejaribu hata kupata option ya kudisable automatic window updates lakini siipati. Naombeni msaada jamani.
 
Amani iwe kwenu wadau

Mimi nina tatizo kwenye PC yangu, toka nimeweka window ten nimekutana na tatizo la kutumia mb nyingi kwa muda mfupi tu. Nimejaribu hata kupata option ya kudisable automatic window updates lakini siipati. Naombeni msaada jamani.
Weka driver pack solution ifanye installation ya driver zote ikimaliza hilo tatzo litakuwa limeisha .

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Tafuta offline driver pack solutions au Weka Usiku pack udownload Hiyo driver pack ili update online
 
network inasumbua ndugu yangu bt am sorry ntakutumia ht baadae
 
windows 10 haiji na option ya kudisable updates. huwa zinajidownload tu anytime ukiwa na internet. labda ujaribu kuingia kwenye services halafu stop service ya windows update
 
mkuu achana na driver pack solution utajiekea mataka taka mengi kwenye computer yako yasiyo na maana.

huwa kikawaida ukiweka windows ya zamani basi itaji update hadi ifike version mpya pamoja na kueka drivers. windows 10 imetoka miaka 2 sasa kuna updates nyingi ndogo na kubwa, kama creators update, fall update etc.

kama huna mb za kutosha eka connection yako kama metered connection windows haitatumia mb zako sababu inajua kifurushi ni kidogo, siku ukiwa na mb nyingi utaeka off metered connection na kui update pc yako. ni vyema kuhakikisha pc yako inakuwa up to date kwenye ulimwengu huu wa ransomware na malware wa kila aina.

unaweza tembelea huu uzi, alikuwa na tatizo kama lako
Msaada wa tatizo la window 10
 
Back
Top Bottom