Pawaga
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 1,349
- 1,011
Wakuu habari yenu?.
Mi ni mdau mkubwa wa kupoteza simu yaani nimekuwa na tatizo hili mara kwa mara na ndani ya wiki mbili nimepoteza simu 3. Kiukweli hali hii inaniuma sana na inaathiri uchumi wangu hata kama simu ni za laki 2 lakini zinaniuma sana.
Hivyo naombeni mbinu au applications ambazo naweza kuzitumia ku-track simu zikipotea.
Pia kama kuna mtu anaweza nisaidia kuzipata simu zangu zilozopotea ntashukuru sana