Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

If thread repeated, forgive my manner! For those run for RHCE, RHCSA, RHCA, MCSA, MCSE, CCNA and CCIE, and other courses regards systems administration ill post some material here once a week, if...
1 Reactions
1 Replies
735 Views
Naomba msaada shut off button haifanyi kazi labda utumie right click, au control-alt-delete then utumie button ya upande wa kulia ndio utaweza kuizima. Nipo kariakoo wapi ntampata mtaalam...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa anayetaka icloud id info za mtumiaji wa mwanzo(email,namba za simu,mahali anapoishi) zinapatikana,NO PASSWORDS. 65$ anayehitaji aje PM. Zinapatikana kwa imei number,na ile email inayodisplay...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wachina nasikia walishazindua hizi drone tax, sjui lini zitafika Bongoland asee
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu salam kwanza Kama uzi unavyojieleza pc dell latitude D 830. Ina shida ya wireless internet service inagoma shida ni na ina chagua flash na sim android Izi mpya zinakataa kusoma shida ni nini?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH BismiLLaah, AlhamduliLLaah In shaa Allaah, Leo Tutajuzana JINSI YA KUTAZAMA VIDEO ZA YOUTUBE BILA KUWASHA DATA. MAHITAJI 1. SmartPhone 2. MBs...
5 Reactions
103 Replies
19K Views
The wait is over!!! Ile software ya laki mbili ya kusaidia youtubers kufanya research ya competitors wao na kushika namba nzuri youtube imevunjwa.... usi - update...ifungue then minya start bila...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
naomba wadau mwenye KEYS za microsoft office 2003 PLEASE I BEG YOU.
0 Reactions
7 Replies
909 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nilikuwa na flash yangu nilihifadhi documensts za muhimu sana lakini nashangaa leo nimefungua documents zipo lakini hazifunguki. Zinagoma halafu nikihamisha...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
kama nlivyoeleza hapo juu simu yangu ni aina ya vivo y51 naomba msaada pamoja na kuwa na 4g 3g inabaki kwenye E hata nikibadilisha haikubari nifanyeje?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za kwebu, Nina shida katika Ms- excel 2017 Haifungui document ambayo ipo kwenye CD wala flash inaandika 'There was a problem sending the command to the program'
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Salaam wakuu! Nahitaji Fundi mzoefu wa Flat Tv. Tv yangu ni aina ya TECHWOOD 32" .. Tatizo ni power. Kama yuko tayar kunitengenezea nyumbani kwangu ni PM . Nyumbani ni Mjimwema Kigamboni NB...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada Weekend hii nataka ninunue PC Nina laki tano mfukoni Je kwa laki tano bidhaa gani bora nitapata kati ya HP au dell Msaada wenu Tafadhali
1 Reactions
107 Replies
18K Views
Nimenunua simu samsung J5, ina wiki mbili sasa. Tangu nimeanza kuitumia sikuwahi kuisikia ikipata moto. Apps nilizoinstall ni goal.com betting apps na jf. Juzi kati nikainstall untvirus...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Habarini za saa hii wakubwa naomba msaada kama kuna mtu anaezijua network ID za ttcl maana tangu nimejiunga na kifurushi Cha mwezi data tupu mtandao hua unashuka sana na muda mwengine laini...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Wachina nasikia walishazindua hizi drone tax, sjui lini zitafika Bongoland asee
0 Reactions
1 Replies
564 Views
Natafuta battery ya Dell Latitude e5450. Any leads?
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Amani ya MUNGU iwe nanyi nyote. Sina uzoefu sana na masuala ya IT, naamini humu wapo wenye taaluma zao... Je, naweza kutumia whatsapp kwenye PC? Kama ndiyo inakuwaje na inafanyaje kazi? shukran...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Km heading inavyojieleza hapo juu.Nilifungua email yangu ya yahoo takriban miaka sita au saba iliyopita na lengo hasa la kufungua email kwa wakati huo ni kujiunga na mtandao pendwa wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom