Whatsapp kwenye PC

Lawrichie

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
787
2,205
Amani ya MUNGU iwe nanyi nyote.
Sina uzoefu sana na masuala ya IT, naamini humu wapo wenye taaluma zao...
Je, naweza kutumia whatsapp kwenye PC? Kama ndiyo inakuwaje na inafanyaje kazi?
shukran nyingi kwenu....
 
Bluestacks consume a lot of computer resources and make it too slow.
Hata mimi niling,oa kabisa
 
Mkuu unaweza nipatia link yake hii emulator ya ANDY niipakue naskia ni nzuri sana maan me nlkwisha itafuta google bila mafanikio msaada tafadhali.

ANDY ilikua nzuri but sasahivi kuna njia nzuri zaidi
Download browser inayoitwa torch, hii inakuja na link za whatsapp na ista unachotakiwa kufanya ni kuscan code tu
 
ANDY ilikua nzuri but sasahivi kuna njia nzuri zaidi
Download browser inayoitwa torch, hii inakuja na link za whatsapp na ista unachotakiwa kufanya ni kuscan code tu

Aha kumbe poa mkuu shukran sana.
 
Back
Top Bottom