Baadhi ya apps zinasababisha simu kupata moto?

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,442
Reaction score
17,923
Nimenunua simu samsung J5, ina wiki mbili sasa. Tangu nimeanza kuitumia sikuwahi kuisikia ikipata moto. Apps nilizoinstall ni goal.com betting apps na jf. Juzi kati nikainstall untvirus application. Baada ya kuiweka tu hiyo apps kwa ajili ya virus simu ikaanza kupata moto. Jana nikaona niiondoe. Simu imerudia hali ya kawaida kama ilivyokuwa mwanzo. Kumbe kuna apps zinasababisha cm kupata moto?!
 
ndio na android haitaki ant virus wala cleaner. hizo app ni za kitapeli achana nazo.

android ipo hivi
-app inapewa permission hivyo ukiiruhusu app kufanya kitu fulani then hata ukiifunga itajifungua, then unaeka app kama clean master ambayo inaclaim inafunga apps chini kwa chini, kinachotokea hapa clean master inafunga, app inajifungua, clean master anafunga tena na app inajifungua mchezo unaendelea hivyo hivyo siku nzima ndio maana unaona simu inapata joto na kutokaa sana na chaji.

cha muhimu hakikisha tu unadownload app zako toka playstore, eka app chache unazozitumia, utaenjoy simu yako bila matatizo yoyote.
 
Ahsante Chifu mkwawa.
 
sio kwmba android aitak anti virus apps, inategemea na app yenyewe...lipia Kaspersky Mobile Security uone kma cm yko itapata joto....
ni baadh tu ya apps ambazo zinaendesha activities zake in background, na nyngi sana developers hua awazifix / kuzi optimize mara kwa mara wanapotoa updates zao
 
sasa hio kaspersky itafanya nini? kaspersky na operating system nani yupo juu? os ikiamua kitu fulani kifanyike hakuna ant virus yenye say, sababu ant virus yenyewe ipo ndani ya os.

App ikishapewa permission hakuna app nyengine yenye uwezo wa kuzuia hata iwe ni kaspersky. ndio maana ukiweka app mpya inakuomba wewe ruhusa na sio ant virus, na ukikubali hizo ruhusa hakuna wa kukataa,

usifananishe android na windows, ufanyaji kazi wake upo tofauti kabisa.
 
ndio na android haitaki ant virus wala cleaner. hizo app ni za kitapeli achana nazo.

android ipo hivi
-app inapewa permission hivyo ukiiruhusu app kufanya kitu fulani then hata ukiifunga itajifungua, then unaeka app kama clean master ambayo inaclaim inafunga apps chini kwa chini, kinachotokea hapa clean master inafunga, app inajifungua, clean master anafunga tena na app inajifungua mchezo unaendelea hivyo hivyo siku nzima ndio maana unaona simu inapata joto na kutokaa sana na chaji.

cha muhimu hakikisha tu unadownload app zako toka playstore, eka app chache unazozitumia, utaenjoy simu yako bila matatizo yoyote.
Thanks chief
 
Back
Top Bottom