Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hi, naomba msaada nijinsi gani naweza kuifanya search engine ije kila baada ya muda kwa njia ya meta tag revist. Asante
1 Reactions
0 Replies
872 Views
Wakuu msaada wa fasta nawezaje kuficha picha za kweny gallery Kuna mtu anapenda Sana simu yangu.. Tueshimiane bwana.. Alaah
0 Reactions
7 Replies
5K Views
ukienda mikoani unakuta kuna watu tofauti wana toa huduma ya cable tv cha ajabu kwenye cable hizo unakuta channel zote za local na zingine mfano supersport na kdhalika kwa bei nafuu mno while...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Nina simu yang apa imegoma kuflashika inadai gmail account na nishasahau nifanyaje Ni tecno w3
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu nisaidien kuscrenshot kwenye laptop
0 Reactions
3 Replies
863 Views
Kuna watu wengi (sana sana wanaotumia windows 10) wamekuwa wakiilalamikia mitandao yao inawafanyia wizi wa mb kwa vifurushi wanavyojiunga pale wanapovitumia kwenye pc zao, Ukweli ni kwamba hii...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
wakuu naomba mnielekeze jinsi ya kufanya unaangalia chanel za startimes bila kulipia kuna jamaa mmoja kaja huku kwetu huku moshi katokea dar anaweza kufanya king'amuzi cha startimes uangalie...
0 Reactions
24 Replies
21K Views
Ni ukwel usioficha kuwa ukuaji wa teknolojia kwa sasa umeathiri maisha ya watu wengi sana kijamii,kiuchumi na kisiasa , Kutoka na maono yangu ya sasa kwa kutumia upeo wangu mdogo I use to call...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwayeyote anaejua jinsi ya kupata internet ya bure.... tusaidianeni jaman
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu poleni na majukum nipo na rafiki yangu kaibiwa simu mbili tecno spark k 7 na w5. Tumeenda polisi chang'ombe wanadai aende kesho, tunawaza ikiwa atauza na kuondoka itakuaje? Please wakuu kama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau sory kwa yeyote yule anae fahamu ni jinsi gani publisher anajisajili katika mtandao wa kwanza anielekeze[emoji120] [emoji120]
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Umewahi kusikia kuhusu ergonomic keyboards? Ni computer keyboards ambazo, funguo zake zimepangwa kwenye muundo tofauti kitaalam kulingana na mwelekeo wa mwili wa mwanadamu. Kwamba computer...
0 Reactions
6 Replies
788 Views
Sometime kuuliza ni kutaka kujua zaidi,,mi jamani sijui tofauti kati ya C band na KU band kama vipi naomba mnijuze na pia endapo nitatumia Lnb za KU band kipi nitapata chanel zipi na C band...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Tupeane elimu kuhusu hiki kitu na jins gan unaweza kutengeneza pesa kupitia YOUTUBE.......!!!??
0 Reactions
2 Replies
653 Views
Kama kichwa hapo juu, naomba nitoe somo kidgo kuhusu namna ya kurudisha au kutoa documents zako zilizofichwa na virus kwenye frash yako,. ni rahis sana na haitakugharimu kitu chochote ,fuata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salam kwanza... PC yangu inatatizo la kuacha kusoma USB hadi u restore ndo inasoma but haidumu tena muda mchache tu inapotea! Msaada plzzz! USB ni nzima na haina tatizo lolote inatumika vizuri tu...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
sijasahau password kwenye pc yangu aina ya toshiba inayotumia window 10 lakini imenigomea,na passwerd ilikua ya local accont,naombeni msaada wenu wanaforum
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo ni siku ya ku-unlock simu zinazohitaji unlock code bure ili kudumisha mahusiano mema na wateja wetu. Tuma aina ya simu na imei namba zake pamoja na provider code (kwa vodafone huwa zinaanza na...
1 Reactions
52 Replies
16K Views
Habarini wakuu,,Ni kwa mara ya kwana napost kwenye jukwaa ili sasa mada yangu sijui kama nmeileta sehem sahihi Mimi ninakabiashara ya kampesa,,,kwahiyo kidogo ninakaufahamu kahusu mpesa,tigo...
0 Reactions
15 Replies
11K Views
Back
Top Bottom