prince dudu
Senior Member
- May 24, 2015
- 109
- 77
Habarini za saa hii wakubwa naomba msaada kama kuna mtu anaezijua network ID za ttcl maana tangu nimejiunga na kifurushi Cha mwezi data tupu mtandao hua unashuka sana na muda mwengine laini inaandika emergency.