Msaada kwa wenye ujuzi wa mambo ya email

Msaada kwa wenye ujuzi wa mambo ya email

fizo talent

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
2,256
Reaction score
3,890
Km heading inavyojieleza hapo juu.Nilifungua email yangu ya yahoo takriban miaka sita au saba iliyopita na lengo hasa la kufungua email kwa wakati huo ni kujiunga na mtandao pendwa wa facebook.Nilifanikisha hilo na mpaka sasa ninatumia facebook kupitia email hiyo hiyo.Shida niliyonayo licha ya kutumia hii email kwa muda mrefu kupitia Facebook sikuwahi kulog in kwenye email km email yani nikigoogle yahoo mail nashindwa kulog in na ndio nina uhitaji sana wa kulog in kupitia hii hii email japo kwenye facebook naendelea kutumia bila shida yoyote.
Ninaposhindwa kuendelea pindi ninapotaka kulog in ni hapa....sehem ya kuandika email naiandika vizuri bila shida kwa kua naifaham...kwenye password pia najaza vizuri kwa kua nazo nazifaham vizuri tu then nabonyesha log in ili niweze kuingia hapo ndio nakwama kwa kua linakuja swali linalouliza "what's your oldest cousin name"
Kiukweli sikumbuki kwa kua ni muda mrefu toka nifungue hii email japo nimejaribu kubahatisha majina tofauti tofauti bila mafanikio na inaonesha yahoo ni vitu muhimu kwa ulinzi wa email yangu ili nikilog niwe ni mimi muhusika mwenyewe
Je nifanyaje ili niweze kuitumia hii email ili niweze kulog in?

Note, nikiandika jina ambalo sio sahihi wananambia jina sio sahihi na nianze upya kwenye kuingiza email
 
kwanza kuna jambo muhimu unatakiwa ufahamu, yahoo ilidukuliwa na mpaka sasa account kibao zimebadilishwa password, nyengine zimebadilishwa email za recovery etc.

jaribu ku forget password halafu uangalie kuna njia gani na gani za ku recover hio email.
 
kwanza kuna jambo muhimu unatakiwa ufahamu, yahoo ilidukuliwa na mpaka sasa account kibao zimebadilishwa password, nyengine zimebadilishwa email za recovery etc.

jaribu ku forget password halafu uangalie kuna njia gani na gani za ku recover hio email.
Ok nitajaribu kuforget password nione
 
Back
Top Bottom