Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Kuna watu wengi (sana sana wanaotumia windows 10) wamekuwa wakiilalamikia mitandao yao inawafanyia wizi wa mb kwa vifurushi wanavyojiunga pale wanapovitumia kwenye pc zao, Ukweli ni kwamba hii mitandao ya simu wanahusika tu kwenye kutoa mb za data ila sasa hizi pc zetu mara nyingi huwa zinahitaji updates na kuna services zinayonya mb kimya kimya bila sisi kujua na hapo ndipo watu wengi hulalamika vifurushi vyao huisha ndani ya muda mchache tu baada ya kujiunga.
Cha kufanya ni simple kumaliza hili tatizo
1.download hili file >> Pakua hapa...
2.Extract file
3. Right click file ambalo umedownload then chagua option ya " Run As Administrator " then minya "Yes"
4.Kila utumiapo internet kwa modem ama kwa smartphone (hotspot / usb cable) fungua hili file, usilifunge hadi umalizapo shughuli zako za internet !!!
OKOA MB ZAKO!!!VYUMA VIMEKAZA 😎😎