PC yangu inagoma kusoma USB

AGAPE BOY

Senior Member
May 24, 2015
169
225
Salam kwanza...

PC yangu inatatizo la kuacha kusoma USB hadi u restore ndo inasoma but haidumu tena muda mchache tu inapotea! Msaada plzzz! USB ni nzima na haina tatizo lolote inatumika vizuri tu kwenye PC zngne!
 
Moe Szyslak

JF-Expert Member
Nov 6, 2016
251
500
Huwa unafanya windows updates au umezima hiyo feature?
Its possible driver zimefeli.
Option ya kurestore sio nzuri sana hususani kwa windows 8 na 8.1 maana huwa ina tabia ya kusolve tatizo kwa muda mfupi then linajirudia. Na kama ukiendelea kufanya restore utashangaa baadhi ya programs zinaanza kufeli na error notifications zinaongezeka, sooner or later itakuwa disaster kwako.
So kwa ushauri wangu, Kama hujafanya updates for a long time eg more than 6 months, its better ukafanya fresh installation ya windows
 
Window haijaisha hata mwez nmeweka! Ngoja njaribu kui update nione
 
Moe Szyslak

JF-Expert Member
Nov 6, 2016
251
500
Window haijaisha hata mwez nmeweka! Ngoja njaribu kui update nione
Hiyo Windows version unajua ni ya mwaka gani?
Inawezekana umeweka juzi ila ni version ya hata miaka 2 iliyopita au zaidi.
Kabla hujaweka windows its better ukajua ni ya lini maana hata km ukibadili tena halafu ikawa ni version ya siku nyingine then bado utakuwa na kazi ya kufanya update mpaka ufikie current version updates.
Kitaalamu zaidi unahitaji kuwa makini. Updating windows ni process ndefu than kufanya fresh installation in some cases.
Kama unaweza kuweka windows mwenyewe ni best udownload yenye current updates then uitumie hiyo unless otherwise tafuta mtu unayemwamini na mwenye uelewa akusaidie.
 
Shukrani mkuu kwa maoni yako... Ila tayar nimefix hilo tatizo! Bila ku update wala kuweka window mpya
 
kidunula1

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
4,884
2,000
Mimi simu yangu haisomi katika pc yangu yenye windows 7 kwa kutumia usb, naombeni msaada
 
AGAPE BOY

Senior Member
May 24, 2015
169
225

Mwenye tatizo kama hilo afuate maelezo haya! Mm nmetumia kwenye window 8.1 cjui kwa window nyngne
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom