Msaada wa Haraka kupata simu zilizoibiwa

DMCT

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
2,276
Reaction score
5,943
Wakuu poleni na majukum nipo na rafiki yangu kaibiwa simu mbili tecno spark k 7 na w5. Tumeenda polisi chang'ombe wanadai aende kesho, tunawaza ikiwa atauza na kuondoka itakuaje? Please wakuu kama kuna mwenye altenative way anisaidie haraka, samahan kwa uandishi mbovu Ahsanten

Update......

Wakuu mpaka sasa hali ni tete askari anae husika na haya masuala anadai tumpe laki 2 kwa simu zote ndipo atafanya kazi... Privately... Tafadhalini sana wakuu niende wapi... Dah.. Askari wetu jamani...
 
sasa mkuu ninachokiona hapo kama inawezekana ungekewa na zile IMEI za phone zote ungeenda kuzifunga kwenye office za wanaojua haya masuala.Alaf kama unataka kuzipata kwa njia ya internet kama uliacha location on ingekusaidia kwa kiac chake.
 
Wakuu poleni na majukum nipo na rafiki yangu kaibiwa simu mbili tecno spark k 7 na w5. Tumeenda polisi chang'ombe wanadai aende kesho, tunawaza ikiwa atauza na kuondoka itakuaje? Please wakuu kama kuna mwenye altenative way anisaidie haraka, samahan kwa uandishi mbovu Ahsanten
Nenda kwa watu wa mtandao uliyokuwa unatumia kama ni tigo au yyte ile. Wao watajua line yako ilikuwa inatumika kwa namba simu ipi watakuambia mei yako. Pia kama ile simu inatumika kwa mtandao mwingine watakupa mpaka namba ya huyo mtu anaye tumia. Kama itakuwa imezimwa au haiko hewani pindi watakapo weka sim card yyte itajulikana kuna kitengo cha police kinacho deal na wizi wa simu. Cyber crime na hakika watakusaidia na utapata simu yako hata mie niliwahi kuibiwa lakini hatimaye simu ilipatikana na nikarudishiwa ila vuta subra.
 
Ahsante mkuu
 
sasa mkuu ninachokiona hapo kama inawezekana ungekewa na zile IMEI za phone zote ungeenda kuzifunga kwenye office za wanaojua haya masuala.Alaf kama unataka kuzipata kwa njia ya internet kama uliacha location on ingekusaidia kwa kiac chake.
Jamaa hata hajui mambo ya location nimejarib kutumia app ya find device ina shindwa na kulock pia inashindwa dah....
 
Nenda kwa watu wa mtandao uliyokuwa unatumia kama ni tigo au yyte ile. Wao watajua line yako ilikuwa inatumika kwa namba simu ipi watakuambia mei yako. Pia kama ile simu inatumika kwa mtandao mwingine watakupa mpaka namba ya huyo mtu anaye tumia. Kama itakuwa imezimwa au haiko hewani pindi watakapo weka sim card yyte itajulikana kuna kitengo cha police kinacho deal na wizi wa simu. Cyber crime na hakika watakusaidia na utapata simu yako hata mie niliwahi kuibiwa lakini hatimaye simu ilipatikana na nikarudishiwa ila vuta subra.
tatizo polisi wa kingo hicho wamefanya dili wanachukua imei wanazikamata simu wanachukua pesa kwa aliyekamtwa na simu si chini ya laki mbili ndio dau lao na simu wanachukua wanauza weww wanakwambia hatujazipata
 
Inauma sana mkuu ila nipo chimbo pia... Naweza kuzi track mwenyew
 
Nenda kwa watu wa mtandao uliyokuwa unatumia kama ni tigo au yyte ile. Wao watajua line yako ilikuwa inatumika kwa namba simu ipi watakuambia mei yako. Pia kama ile simu inatumika kwa mtandao mwingine watakupa mpaka namba ya huyo mtu anaye tumia. Kama itakuwa imezimwa au haiko hewani pindi watakapo weka sim card yyte itajulikana kuna kitengo cha police kinacho deal na wizi wa simu. Cyber crime na hakika watakusaidia na utapata simu yako hata mie niliwahi kuibiwa lakini hatimaye simu ilipatikana na nikarudishiwa ila vuta subra.
Wakati anajiandaa kufanya yote haya pia nimshauri tu kwamba awe mfukoni amenona vya kutosha,maana ataambiwa aweke gari ya police mafuta bila kusahau kuambiwa akatoe copy karatasi za kureport tukio na pia awe na muda wa kutosha wa kupoteza.na yote haya atayafanya ila still simu zake anaweza asizipate coz kama zitadondokea kwenye mikono ya mjanja mjanja anaejua kuzichezea akizi-root tu hamna ambacho ataona.mie naamini ktk kusahau na kuacha maisha yaendelee tu ukishaibiwa simu ili kuepusha hizi rabsha.
 
Hivi mimi naomba kujua,lengo la TCRA wakati ule tulipoambiwa tusajili simu ilikuwa ni nini!mimi nadhani pia ilikuwa ni kuweka urahisi wa simu inapoibiwa kuweza kupatikana,ila sasa sioni faida yake kama watu bado tunaibiwa simu na bado kuzipata inakuwa ni issue...
 
Wakati anajiandaa kufanya yote haya pia nimshauri tu kwamba awe mfukoni amenona vya kutosha,maana ataambiwa aweke gari ya police mafuta bila kusahau kuambiwa akatoe copy karatasi za kureport tukio na pia awe na muda wa kutosha wa kupoteza.na yote haya atayafanya ila still simu zake anaweza asizipate coz kama zitadondokea kwenye mikono ya mjanja mjanja anaejua kuzichezea akizi-root tu hamna ambacho ataona.mie naamini ktk kusahau na kuacha maisha yaendelee tu ukishaibiwa simu ili kuepusha hizi rabsha.
Sio kweli mie sijatoa hata shilingi na nilipigiwa simu kwenda kukabidhiwa simu yangu wakiwepo wahalifu 4 walio uziana hiyo simu
 
Back
Top Bottom