Ushauri kuhusu Google Pixel 7 Pro na Pixel 7 (Plane)

Janvansina

Member
Joined
Nov 5, 2025
Posts
63
Reaction score
67
Habari za muda huu wakuu
Nataka kununua simu ya Google Pixel na macho yangu yapo kwenye Pixel 7 pro zaidi kuliko 7plane
Hata hivyo, nimeona mtaani watu wengi wanatumia na kusifia zaidi Pixel 7 plane huku Pixel 7 Pro ikiwa adimu au kutopendwa sana na wengi.
Naomba uzoefu wenu kwa wanaozitumia hizi simu kwa sasa (2026)
 
Sio kwamba hazipendwi ni watu wanaepuka gharama.

7Pro ni flagship wakati 7plain ni midrange.

Flagship siku zote ndio bora
 
Umefanya udalali wa kuuza miwa na ukapata hela kidogo tu, unakuja kuringisha JF kuwa na wewe ni mtu wa kusafiri kwa ndege.

Usafiri wako ni Moro Best Kilosa-Dar
 
Sio kwamba hazipendwi ni watu wanaepuka gharama.

7Pro ni flagship wakati 7plain ni midrange.

Flagship siku zote ndio bora
Kumbe ishu kubwa zaidi ni gharam. Lkn mbon zimetofautian kdg san
 
Hizo tofauti unazoziona ndogo ni za muhimu sana kama ni mtu wa kupenda high perfomance

Ila kama ni mtu wa kupiga simu, kupokea, kuperuzi insta basi 7plain ni option nzuri.

7pro ina 12GB ram wakati 7plain ina 8, kwangu mimi nikitumia factor hii tu ya Ram siwezi kuona kama gape la 4GB ni dogo hususani pale tunapoona kuna simu zipo mtaani zina operate kwa 4GB.

Tunapoelekea miaka ya mbele, 7pro inakupa nafasi kubwa ya kuendelea kutumia simu yako kulingana na mahitaji ya wakati huo kuliko 7 plain.

Sasa imagine 12GB unaipata kwenye flagship

Hapo sijataja mambo mengine kama battery 5000, refresh rate 120hz, telephoto zoom nk.
 
Shukrani sana mkuu kwa uchambuzi mzuri
 
Back
Top Bottom