Masuala ya Innovation

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
15,695
23,051
Computers 'to match human brains by 2030'

Steve Connor
February 24 2008 at 11:41AM

Boston - Computer power will match the intelligence of human beings within the next 20 years because of the accelerating speed at which technology is advancing, according to a leading scientific "futurologist".

There will be 32 times more technical progress during the next half century than there was in the entire 20th century, and one of the outcomes is that artificial intelligence could be on a par with human intellect by the 2020s, says American computer guru Ray Kurzweil.

Machines will rapidly overtake humans in their intellectual abilities and will soon be able to solve some of the most intractable problems of the 21st century, said Kurzweil, one of 18 maverick thinkers chosen to identify the greatest technological challenges facing humanity.

Kurzweil is considered one of the most radical figures in the field of technological prediction. He is a pioneer in various fields of computing, such as optical character recognition - the technology behind CDs - and automatic speech recognition by machine.

His address this week to the American Association for the Advancement of Science portrayed a future where machine intelligence will far surpass that of the human brain.

Although the brain cannot match computers in terms of the straight storage and retrieval of information, it has an unrivalled capacity of associating different strands of information, to look ahead and plan, as well as performing the imaginative creativity that is at the heart of human existence.

But Kurzweil is one of several computer scientists who believe that computers are well on the way to creating a "post-human" world where a second, intelligent entity exists alongside people. - Foreign Service

Source: Sunday Independent of South Africa
 
as long as the human brain will be behind all the processes to make computers, we will always emerge victorios agaisnt machines!
 
Maxence Melo Cookie na viongozi wote wa jf naomba mtambue mchango wa huyu mdau Richard japo alitoa hii mada kwenye chanzo kingine, lakini tuzingatie ilikuwa February 2008 mdau aliona kesho ya AI na ndicho tunashuhudia hivi sasa muda hawajakosea kwenye makadirio, hii thread ina repy moja na wadau wengi nahisi hawakuamini kama bandiko linavyosema miaka ya 2020s hadi 2030s kwamba masuala ya AI yatafika hapa tulipo.

Kama jinsi uongozi wa jf mlivyo na taratibu za kuunganisha nyuzi zenye maudhui ya aina moja, naomba nyuzi za AI zounganishwe hapa kama kutambua mchango wa huyu mdau.

Naomba nichukue nafasi hii pia kuitumia hii fursa kumtambua Moshe Dayan mdau ambae ni pekee ali reply katika nyuzi hii.

Hii ndio ilikuwa jamiiforums ya great thinkers... Na ndio maana halisi ya kuwa great thinker, kufikiria mbele ya muda.

Mliotambua mapinduzi ya AI miaka ya 2020s na huko mtakaotambua AI miaka 2030s tambueni brothers zetu walitambua hili kitambo sana back in days wakitumia XP windows na email za yahoo. Thanks.
 
Ai imekubalika na kidogokidogo yaingizwa kwenye baadhi ya mifumo.

Kwa mfano katika baadhi ya nchi AI sasa hivi yasaidia madaktari kuhudumia wagonjwa wakiwa bado kwenye hatua ya mwanzo ya matibabu na kisha kuweza kutathmini aina ya tiba inofaa kwa ajili ya mgonjwa. ChatGPT sasa yaweza kutengeneza documentation mbalimbali kusaidia uharaka wa process.

AI pia imeanza kutumika kuboresha Mtandao wa GPS (Global Positioning System) kwa kutafuta njia mpya na kurahisisha njuia mbadala.

Hata vyuo vikuu vingi vimeikubali AI kutumika kusaidia wanafunzi katika kazi zao za kuandika khasa wale wanafunzi wenye matatizo ya kujifunza (Dyslexia) ingawa kumewekwa miongozo kdhaa kuzuia wanafunzi kuandikiwa kila kitu na AI.

Hata hivyo baadhi ya modeli za AI zimekuwa zikiharibu baadhi ya taarifa (information) au kuzifuta kabisa (hallucinate) pale zinapotaka jambo ambalo hutishia kuwepo kwa taarifa sahihi katika ulimwengu wa vita vya kupata habari.

Elon Mask sasa hivi kapata wizara chini ya Donald Trump, be warry.
 
AI hivi sasa inaigiza sauti ya mtu, AI inaimba nyimbo.
AI inatisha kiukweli.
 
Back
Top Bottom