Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

APPLE WACHOMOA UBORESHAJI WA IOS 8.01 Wiki moja baada ya kutoa iOS 8 Apple wamelazimika kuboresha (update) OS hiyo na kutoa iOS8.01, lengo la uboreshwaji huo lilikuwa ni kuondoa baadhi ya...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu ni nahitaji Mtaalam anaye weza kuweka Google map kwenye application ya android studio iweze kuonyesha location na mda kama ilivyo ya uber naomba na bei pia ili aifanye kazi hiyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalamu, Binafsi nimekuwa "curious" kujua ni kwanini nyambizi (sub marine) hazizami pale inapotokea inapita chini kwa chini ya bahari " inabehave kama samaki. Binafsi pia nimejitahidi kufuatilia...
1 Reactions
2 Replies
933 Views
Habari wakuu! nimeamua kujaribu kutengeneza Website [Forum] yangu, sasa nataka ni publish iwe inatumika hapa Tanzania na East Africa pia, je nitakuwa nimekiuka mashart kuwaiga hawa walio tangulia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii kitu siyo linux based bali ni windows based OS. Kama kuna mtu aliyewahi kuitumia naomba atujuze utamu wake. ReactOS 0.4.11 released | ReactOS Project
1 Reactions
2 Replies
2K Views
kampuni ya Nokia imetangaza jana kwamba wanarudi tena kwenye soko la simu baada ya kuipa haki kampuni ya HMD kutumia jina na technology zote za Nokia. Kampuni hii ya HMD ambayo imezinduliwa jana...
11 Reactions
74 Replies
11K Views
Jamani wanajamvi naomba kama kuna mwenye uelewa na hii kitu anisaidie kutatua tatizo. Laptop ilikuwa inafanya kazi vizuri tu lakini ghafla screen ikawa ya rangi ya blue then ikasema kuna tatizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ninajaribu kuingiza data but inagoma shida ni kwenye jinsi ya kuset varriable za values. include 'connection.php'; ?> if(issert ($_POST ['save'])){ $username =$_POST ['username']; $password...
0 Reactions
2 Replies
745 Views
wakuu mara nyingi ninapojaribu kufuta thread zangu ambazo nadhani natakiwa kuzifuta huwa nashindwa.Kuna namna ya kufuta au mods wamerestrict? msaada wenu unahitajika
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Wakuu wa Tech naomba msaada kidogo. Nimejaribu kupitia forums mbalimbali za habari za Tv Box kama vile Android TV box. Kuna maswali bado yananitatiza as sikupata clear cut answers. 1. Tofauti ya...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Help plz!! Mfano umeshanunua product online mfano simu or laptop ikasafirishwa inafikia Dar?, Then wana office zao (mawakala) or unapokea mtu uliyeagiza? Or inafika hadi mkoa ulioandikia address...
3 Reactions
107 Replies
16K Views
Naomba mnisaidie app nzuri ya kudownlod nyimbo za video isiwe tubemate hiyo siitaki.
0 Reactions
9 Replies
29K Views
Habari zenu wakuu....... napenda kujua hizi system tunazotumia mfano hii ya kuomba ajira.... inasumbua sio kidogo... sometimes hata kufunguka tu tabu.... sikwambii kwenye kuapload vyeti hapo ndo...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
nimetengenezwa app kwa adroid user. developer amesema yeye anaweza android tu na amenikadhi app yangu. naomba mwenye uwezo wa kunitengenezea app hiyo hiyo isome kwa ios akuje inbox. mtu makini...
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Habari wanajukwaa.Siku chache zilizopita kuna mtu wangu wa karibu aliibiwa simu na cha ajabu zaidi huyo aliyeiba simu anaitumia kutapeli watu je inawezekana kumpata huyo mtu tukilifuatilia suala hilo?
0 Reactions
4 Replies
919 Views
wadau kwa wale ambao tunatumia burma tv kwa ajili ya kuangalia mechi za mpira kwangu kuanzia juzi naona inashindwa kufungua sijui kwenu wadau.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Guys i need a code number to hide your phone number when making a call in Tanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
14 Replies
8K Views
Habari wana JF, I Hope wote humu mko salama. Kwa siku yaleo ningependa kushare nanyi njia rahisi ambayo unaweza kuitumia kuweza kubadilisha muonekano wa Google Chrome ikiwa pamoja na kufanya mambo...
0 Reactions
19 Replies
45K Views
Naomba msaada jinzi ya ku root simu yangu aina ya Tecno WX3 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
899 Views
Kwa wale wote ambao wanatumia simu za Tecno S1 ambazo zimefungwa na mtandao mmoja wa tigo, Line one imefungwa kwa ajili ya kutumia tigo tuu na line 2 unaweza kuweka laini yoyote ile, ila ili uweze...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…