msaada: jinsi ya kufuta thread

msaada: jinsi ya kufuta thread

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,149
wakuu mara nyingi ninapojaribu kufuta thread zangu ambazo nadhani natakiwa kuzifuta huwa nashindwa.Kuna namna ya kufuta au mods wamerestrict? msaada wenu unahitajika
 
Na mımı nılıkuwa najarıbu kufuta yangu ambayo ılıkuwa haısomekı vızurı ılı nıandıke upya nımeshındwa.
 
Hakuna option ya kufuta thread wakuu ukiandika umeandika na inabaki kuwa mali ya jf, mods pekee ndio wenye access hiyo hivyo unaweza kuwasiliana nao

Pia kama unataka kuifanyia marekebisho unaweza kufanya hivyo siyo lazima uifute mkuu.
 
As a member you only have access to deleting your post; for the option of deleting a thread is not accessible to members but to Mods. What you need to do if it happens you want your thread deleted is to press the Report button and promptly the action will be done so by a Mod.

JF Daima.
 
hata kuiedit pia au..
 
Back
Top Bottom