Wataalamu, Binafsi nimekuwa "curious" kujua ni kwanini nyambizi (sub marine) hazizami pale inapotokea inapita chini kwa chini ya bahari " inabehave kama samaki. Binafsi pia nimejitahidi kufuatilia baadhi ya video youtube, bado nimeona nahitaji ufafanuzi zaidi. Ahsante.