Menu ya Siri inayopatikana Kwenye Google Chrome (Android)

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
335
500
Habari wana JF, I Hope wote humu mko salama. Kwa siku yaleo ningependa kushare nanyi njia rahisi ambayo unaweza kuitumia kuweza kubadilisha muonekano wa Google Chrome ikiwa pamoja na kufanya mambo mbalimbali kupitia browser ya Google Chrome ya Android. Najua njia hizi zitaweza kuwasaidia watu wengi sana na kwa namna moja ama nyingine pia Menu hii itakuwa ni kitu kizuri sana kwenu wana JF. Basi bila kupoteza muda twende tukangalie njia hizi.

Kama umekwama mahali unaweza kuliza kupitia hapo chini.
 
Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
335
500
Mkuu ungetoa maelezo kwa nini kuna menu ya siri na kwa nini tuifuate huko you tube, kuliko kujimalizia bundle hovyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Menu hiyo imewekwa kwa developers only, Menu hiyo inasaidia kuongeza uwezo wa Chrome ikiwa pamoja na kubadilisha muonekano kabisa wa Chrome. Thats Short Version ----- Long Version ni kwamba please angalia video hata sekunde 20 za kwanza na kama utaona ni kitu ambacho huitaji unaweza kuachana nacho tu.
 
24 Megapixel

Senior Member
Mar 2, 2019
127
250
Menu hiyo imewekwa kwa developers only, Menu hiyo inasaidia kuongeza uwezo wa Chrome ikiwa pamoja na kubadilisha muonekano kabisa wa Chrome. Thats Short Version ----- Long Version ni kwamba please angalia video hata sekunde 20 za kwanza na kama utaona ni kitu ambacho huitaji unaweza kuachana nacho tu.
Wewe utakuwa unatafuta views mkuu
 
Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
335
500
Wewe utakuwa unatafuta views mkuu
Brother it's all about kujifunza kaka, Views hazina manufaa kwetu kama somo halito eleweka kwa wana jamii tunao jaribu kujifunza nao. Na kama tungekuwa tunataka view tungepost hapa kila siku kutafuta views. We only post on weekends tu... kujaribu kushare kile tulicho nacho. But kama unaona hii haina msaada kwako its oky unaweza kuachana nayo tu kwa sasa.
 
Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,335
2,000

Mbona haujaweka angalizo kama ni for developers!?...
 
nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,064
2,000
Menu hiyo imewekwa kwa developers only, Menu hiyo inasaidia kuongeza uwezo wa Chrome ikiwa pamoja na kubadilisha muonekano kabisa wa Chrome. Thats Short Version ----- Long Version ni kwamba please angalia video hata sekunde 20 za kwanza na kama utaona ni kitu ambacho huitaji unaweza kuachana nacho tu.
Unatafuta viewers?
Kuwa muwazi tu tukupige tafu
 
johnj

Member
Jul 23, 2008
90
125
Kwa kweli anatafuta viewers.
Ningeshauri atoe maelezo kiasi kwa maandishi halafu ndio aweke hiyo video ili ambao watasoma na kuona kitu kinachoongelewa hakina faida kwao wasihangaike kuangalia video. Ila all in all anatafuta viewers na pia kutengeneza biashara
 
Kanungila Karim

Verified Member
Apr 29, 2016
17,223
2,000
Menu hiyo imewekwa kwa developers only, Menu hiyo inasaidia kuongeza uwezo wa Chrome ikiwa pamoja na kubadilisha muonekano kabisa wa Chrome. Thats Short Version ----- Long Version ni kwamba please angalia video hata sekunde 20 za kwanza na kama utaona ni kitu ambacho huitaji unaweza kuachana nacho tu.
Wee mkaka samahani mbona PC yangu haiingizi chaji?
 
enhe

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
1,806
2,000
Habari wana JF, I Hope wote humu mko salama. Kwa siku yaleo ningependa kushare nanyi njia rahisi ambayo unaweza kuitumia kuweza kubadilisha muonekano wa Google Chrome ikiwa pamoja na kufanya mambo mbalimbali kupitia browser ya Google Chrome ya Android. Najua njia hizi zitaweza kuwasaidia watu wengi sana na kwa namna moja ama nyingine pia Menu hii itakuwa ni kitu kizuri sana kwenu wana JF. Basi bila kupoteza muda twende tukangalie njia hizi.

Kama umekwama mahali unaweza kuliza kupitia hapo chini.
Tunapotumia simu huwa "tuna-tap" na "hatu-click" matumizi mabaya ya lugha wakati flani hupotosha maana!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom